7 5 mm
Kuna jukwaa linaitwa chit chat!
Na usione watu wanataniana we had a long way kuwa na ukaribu wa aina hiyo,kuna kitu humu kinaitwa circle! Usifikiri mi nakurupuka tu kumtania Dark City au Asprin sijui Eiyer ukafikir ni swala la kuikuta tu ID Leo na kesho kuanza kuiandikia thread nakupenda sijui nataka nikuoe!
Jifunze kutengeneza marafiki utapata tu wa kuwa huru Nao kuwatania!
Usivamie kila MTU!
Sawa eeeenh!
Jifunze na uelewe,kinyume na Hapo ndo haya ya kushushuliwa hivi mwisho unakuwa na sura nzito kama uji wa ulezi!
umesema ukweli mkuu
Nimependa uungwana wako kwa ulivyojibu mkuu.Siku njema.
sitaki utani, sitaki thread, sitaki mention kuanzia leo hii...
NADHANI UMENIELEWA
mkuu yaan nawashangaa baadhi ya watu humu mtu akimwita mke ninavyojua mm huwa unakuwa utani sasa wao wanakuja juu vbaya .
Kwan mtaan kwangu hakna wanawake mpaka nikamtafute nisiyemjua?
Hahahaha...pole sana mkuu,
dah, ume over react! unexpected. kumbe hujaacha ukali wako? Jamaa anatania tu mkuu, sidhani kama yuko serious kiasi unachodhani.
mkuu natania tu sasa naona kunawatu wanakuja juu.
Kwan wanawake hakuna mitaan mpaka nikampende mtu nisiyemjua?
Hiii niliandika kwa utani tu
Jamani kasema anatania tuu mbona mmekuwa mbogo hivi?.mtoa mada next be careful unapotaka kufungua thread fanya mawasiliano na mhusika unaona sasa ulivyoharibu siku yako?
nmekuelewa mkuu. Hilo hata ungeniambia tangu mwanzo kuwa hutaki nisingefika hata huku.
Ila ukumbuke ulitoa kauli moja kuwa "unaogopa watu wa mitandao ila utakuwa mke wa jf tu and nothin else" hyo kauli yako ndo nikajua ni mtan wangu lakn kumbe ww umenipeleka na kunifananisha kwa Makomana mtu ambaye hata simjui.
Vaislay ilikuwa ni jokes tu wala sikumaanisha
7 5 mm
Kuna jukwaa linaitwa chit chat!
Na usione watu wanataniana we had a long way kuwa na ukaribu wa aina hiyo,kuna kitu humu kinaitwa circle! Usifikiri mi nakurupuka tu kumtania Dark City au Asprin sijui Eiyer ukafikir ni swala la kuikuta tu ID Leo na kesho kuanza kuiandikia thread nakupenda sijui nataka nikuoe!
Jifunze kutengeneza marafiki utapata tu wa kuwa huru Nao kuwatania!
Usivamie kila MTU!
Sawa eeeenh!
Jifunze na uelewe,kinyume na Hapo ndo haya ya kushushuliwa hivi mwisho unakuwa na sura nzito kama uji wa ulezi!
simjui hanijui....nashangaa kuona anapoteza muda wake kuandika vitu vya ajabu hapa
yeah! Hyo ndio point mkuu na nilijua mtani wangu coz alishakubali utani lakin naona amekirihika vibaya mno...........
Nashukuru snowhite kwa ushaur
kwel mama,ikawa kosa!!.yaan...sina hamu nae,maana hadi matusi nilimtukana lakini wapi,nikamwambia sikutaki,sura yenyewe nzuto mzigo hela huna nikupeleke wapi mie,lakn wapi!!,eeh
Naaaaaaaam! Waungwana habarin za j4 kwa kila mmoja.
Nimeona sitakuwa muungwana kama kama sitawapa mrejesho wakati nilitamka hadharani hapa kuwa namhitaji mtoto mzuri na mrembo Vaislay na watu mlijitafuna sana kutoa ushauri,na kunisaidia kumshawishi bibie ili akubali ombi ninafuraha kuwaambia kuwa jana ndio nilienda kujitambulisha rasmi kwao.
Nilipokelewa vizuri sana na nimekubaliwa ombi lakuwa mmoja wa wanafamilia yao.
Kwa kweli suala la mahali nimepimiwa kiasi cha kawaida sana ambacho mtu yeyote anaweza kukimudu.
Sasa mjiandae kuhudhuria harusi itakapopangwa
.
.
.
....................
..................................
Cc ICHANA , Dinazarde , Matola , miss neddy , babu Asprin , miss chagga , na wengine weeeeeengi
Gud!yeah! Hyo ndio point mkuu na nilijua mtani wangu coz alishakubali utani lakin naona amekirihika vibaya mno...........
Nashukuru snowhite kwa ushaur
Mi nasubiri kula punje tu hapa....tarehe ya arusi tafadhali