Mbona mnajipa credit zisizokuwa na maana yoyote, Yanga ingemtaka Ngoma kwa akili zako wangeshindwa kumpata? Mashabiki wa Simba mlipoletewa manzoki kwenye mkutano na mkapiga makofi ndipo nilipoona ya kuwa amnazo! Mnadanganywa na viongozi wenu kwamba walimchukua Ngoma airport na nyie mkaunga tela bila ata kuishughulisha kidogo akili yenu!!! Porojo zile ndizo unaleta hapa eti alidakwa juu kwa juu🤔🤔🤔 uyo Ngoma wako pale yanga anachukua namba ya nani labda kwenye first eleven???
Yanga aikuwa na mpango na uyo Ngoma mnayemuona kwenu ni star pale yanga akuwa na nafasi uchezaji wake wa staili ya konokono alikuwa anawafaa nyie mkae mkilijua ilo muache propaganda za kijinga kijinga!
Hili povu linatosha kufulia mashuka ya wodi nzima pale Muhimbili. Umeielewa mada lakini?
 
Hili povu linatosha kufulia mashuka ya wodi nzima pale Muhimbili. Umeielewa mada lakini?
Rejea kauli yako ya kusema alidakwa juu kwa juu, ni nani wa kwenda kumdaka mchezaji anayejitambua juu kwa juu? Mchezaji mwenyewe ni Ngoma ebu jitafakari kabla ujaandika ulichokiandika
 
Rejea kauli yako ya kusema alidakwa juu kwa juu, ni nani wa kwenda kumdaka mchezaji anayejitambua juu kwa juu? Mchezaji mwenyewe ni Ngoma ebu jitafakari kabla ujaandika ulichokiandika
Na kwa uelewa wako hiyo umeona ndiyo mada ya uzi huu?
 
Na kwa uelewa wako hiyo umeona ndiyo mada ya uzi huu?
Nimekwambia futa kwanza kauli yako ya kusema alidakwa juu kwa juu ndiyo tujadili mengine usitake kujificha kwenye kichaka cha mada ya Uzi, lazima urekebishe kwanza "vimaneno" vya ovyo alafu tuendelee!
 
Naelewa na kutambua kuwa kama nchi tuna changamoto ya "reading comprehension" kwa hiyo nitaenda na wewe polepole.

Hiyo paragraph ya mwisho iliyochukua maneno hayo na kuyafanya ndiyo msingi wa hoja yako, ukirudia kusoma utagundua nilianza na maneno "nahisi", kwa hiyo niliweka uwezekano ya kuwa naweza kuwa sahihi au nisiwe sahihi lakini ni "conclusion" niliyoifanya kutokana na kuona huyo mtu wenu anaendelea kusambaza huo uzushi. Unless utakuja na evidence ya kuonyesha kuwa Manara aliwahi kutamka maneno hayo wakati Ngoma bado yupo Al Hilal au Raja, nitaendelea kuamini kuwa kuna sababu inayomuumiza hadi kuendelea kufanya hivyo.

Kuendelea kuepuka mada iliyoko mezani ambayo hata haujaigusia na badala yake kukomalia jambo nililosema katika conclusion yangu kuwa "ninahisi" inaonyesha ufinyu wako wa kudadavua mambo.

Kwa kumalizia, nani amekwambia una mamlaka ya kuniamuru nifute kauli zangu?
 
Back
Top Bottom