uzuri wa wasichana ndio GPA zao.

uzuri wa wasichana ndio GPA zao.

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
Uzuri wa wasichana naufananisha na GPA ya graduate.
Ili uitwe kwenye interview laziwa GPA ihusike,kama ni 4.0 na kuendelea mpaka 4.9 lazima uitwe kwenye interview.
Vivyo hivo kama msichana ni mzuri basi anavutia wengi wenye nia nae,ila kama ni mbaya na kama GPA ni ya 2.1 basi huyo imekula kwake,hata kutongozwa ni utata sawa na ilivyo kwa mwenye GPA ya 2.1 kuitwa kwenye interview.
KWENYE INTERVIEW NI SEHEMU YA KUJIRIZISHA
1.uelewa
2.uzoefu
3.uwezo wa kujieleza nk.
KWA MSICHANA INTERVIEW YAKE NI KUJIRIZISHA
1.tabia
2.upole
3.si malaya
4.ucha mungu nk.
CONCLUSION
Gpa ndio kigezo cha kwanza kutafutia wafanyakazi,uzuri ndio kigezo cha kwanza kutafutia mke.
Mengine kwenye interview yatajulikana kama anafaa ama laa.
 
Sijakuelewa mkuu... GPA mi naona ilikua kigezo zamani tu ili upate kazi... sahiv watu wana hizo GPA za nne ila hawana kazi ya maana........ Kuhusu suala la uzuri ndio kigezo cha kwanza kutafuta mke: hapo mi naweza kukubalia kidogo maana majamaa wa kitaani wanakuambia "MWANAMKE UZURI, TABIA TUTAREKEBISHANA"
 
mmmh.......sie wenye sura ngumu na shape za bilinganya mwaka huu tutakoma aisee!

Anyways......napita tu!
 
Usivunjike moyo mama. Mchina yupo kwa ajili yenu.

.... utageuka kimodo, umbo namba nane na chuchu saa sita ndani ya wiki tu..... Bila kusahau pia utaweza kupata bikra feki vile vile.....
 
Hahahaa haaaa
Mshinga bana
haya mlioko single kazi mnayo
 
Uzuri ni neno tu, kuvutia ni neno jingine....

Nampenda mwanamke kwa sababu ni mzuri? La hasha nampenda kwa sababu ni mzuri na kanivutia...

Kwangu G.P.A pekee haitoshi...usahili lazima uhusike ima faima.
 
Uzuri wa wasichana naufananisha na GPA ya graduate.
Ili uitwe kwenye interview laziwa GPA ihusike,kama ni 4.0 na kuendelea mpaka 4.9 lazima uitwe kwenye interview.
Vivyo hivo kama msichana ni mzuri basi anavutia wengi wenye nia nae,ila kama ni mbaya na kama GPA ni ya 2.1 basi huyo imekula kwake,hata kutongozwa ni utata sawa na ilivyo kwa mwenye GPA ya 2.1 kuitwa kwenye interview.
KWENYE INTERVIEW NI SEHEMU YA KUJIRIZISHA
1.uelewa
2.uzoefu
3.uwezo wa kujieleza nk.
KWA MSICHANA INTERVIEW YAKE NI KUJIRIZISHA
1.tabia
2.upole
3.si malaya
4.ucha mungu nk.
CONCLUSION
Gpa ndio kigezo cha kwanza kutafutia wafanyakazi,uzuri ndio kigezo cha kwanza kutafutia mke.
Mengine kwenye interview yatajulikana kama anafaa ama laa.

mdau GPA kwa sasa si kigezo cha kupata kazi,,,,,,
zungumzia kingine,,,,,na kuna uzi humuhumu jamaa aliwai kuuweka,akisema anasota mtaani mwaka wa 3 huu na ana gpa ya 4,,,,,
 
Uzuri ni neno tu, kuvutia ni neno jingine....

Nampenda mwanamke kwa sababu ni mzuri? La hasha nampenda kwa sababu ni mzuri na kanivutia...

Kwangu G.P.A pekee haitoshi...usahili lazima uhusike ima faima.

take like mkuu
 
Uzuri wa wasichana naufananisha na GPA ya graduate.
Ili uitwe kwenye interview laziwa GPA ihusike,kama ni 4.0 na kuendelea mpaka 4.9 lazima uitwe kwenye interview.
Vivyo hivo kama msichana ni mzuri basi anavutia wengi wenye nia nae,ila kama ni mbaya na kama GPA ni ya 2.1 basi huyo imekula kwake,hata kutongozwa ni utata sawa na ilivyo kwa mwenye GPA ya 2.1 kuitwa kwenye interview.
KWENYE INTERVIEW NI SEHEMU YA KUJIRIZISHA
1.uelewa
2.uzoefu
3.uwezo wa kujieleza nk.
KWA MSICHANA INTERVIEW YAKE NI KUJIRIZISHA
1.tabia
2.upole
3.si malaya
4.ucha mungu nk.
CONCLUSION
Gpa ndio kigezo cha kwanza kutafutia wafanyakazi,uzuri ndio kigezo cha kwanza kutafutia mke.
Mengine kwenye interview yatajulikana kama anafaa ama laa.

kazi unayo kijana kama ndo hivi..
 
It is in the eyes of the Beholder...!!
 
mmmh.......sie wenye sura ngumu na shape za bilinganya mwaka huu tutakoma aisee!

Anyways......napita tu!
eggplant-hi.png
shapeapple1.jpg
 
Usivunjike moyo mama. Mchina yupo kwa ajili yenu.

.... utageuka kimodo, umbo namba nane na chuchu saa sita ndani ya wiki tu..... Bila kusahau pia utaweza kupata bikra feki vile vile.....

Mwenzangu!!!
Nyie mtunange tu.....ila kaeni mkijua kuna wenzenu hawalali na hawali wakashiba kwa ajili yetu. chezeiyaa ugly face wewe!!

Mchina....mmmh mmmh hapana. After all Mshinga is not "every man" so kila shetani na mbuyu wake!
 
Kuna vitu viwili kwa wanawake, kuna wazuri warembo mwanaume yeyote lazima utoe macho,

Kuna wengine wenye kitu kinaitwa mvuto, hawa kwa jicho la kwanza unaweza usiwatambue but ukikaa nao dakika tu mwenyewe unajaa na ukibahatika kummiliki ndio hutataka uondoke hata iweje,, wenye mvuto wamechanganyikana wapo warembo na wapo wabaya machoni but wana mvuto wa kfa mtu..

Hivi hujawahi kuona mwanamke mbaya au wa kawaida tu lakini wanaume wanamgombania..

Kuna wanawake wazuri lakini ukikaa nae siku mbili tu unamchoka vibaya mno na daily watu wanamkimbia, na kuna wabaya lakini watu wanawagombania..
 
naomba kutoa majibu ya jumla.
Leo kweli nimeamini watu huwa hawashughulishi ubongo wao kuelewa kilichoandikwa,wengi wanaangalia comment za mwanzo hata kama zipo chaka ndo wanaelekea huko huko.
1.hakuna mahali nimesema kigezo cha kuajiliwa ni GPA,ila nimesema GPA ni kigezo cha wewe kuitwa kwenye interview,nilidhani watu wataelewa kuwa ukifika kwenye interview vigezo vingine lazima vizingatiwe ili kupata ajira,na hapo ndo unakuta GPA kubwa kaboronga interview,anaachwa na ndio unaemuona mtaani,ama anakataa mshahara mdogo na ndiye unaemuona mtaani,mwenye gpa ndogo hata kuitwa interview si rahisi kama hakuna urasimu,yupi anakaribia ajira?
2.hakuna mahali nimesema kigezo cha kuolewa ni uzuri,nimesema kigezo cha kwanza kutafutia mke ni uzuri,nikimaanisha,eg uaanzaje kufatilia tabia ya msichana aliye mgeni kwako kama havutii?Utaanzaje kufatilia historia yake kama havutii?Lazima akuvutie kwanza kimuonekano ndio unaanza kufatilia vigezo vingine,kama havutii hata jina lake huulizi na wala namba ya simu&id fb huombi
 
Uzuri ni neno tu, kuvutia ni neno jingine....

Nampenda mwanamke kwa sababu ni mzuri? La hasha nampenda kwa sababu ni mzuri na kanivutia...

Kwangu G.P.A pekee haitoshi...usahili lazima uhusike ima faima.

Kwani mimi nimekataa vigezo vya usaili?Reread inbetween lines utaelewa.
 
Kaka...nilichoandika ni ongezeko tu ya ulivyoandika...means nimekubaliana nawe na kuongeza kidogo kulingana na muono wangu
 
Back
Top Bottom