uzuri wa wasichana ndio GPA zao.

uzuri wa wasichana ndio GPA zao.

Uzuri ni neno tu, kuvutia ni neno jingine....

Nampenda mwanamke kwa sababu ni mzuri? La hasha nampenda kwa sababu ni mzuri na kanivutia...

Kwangu G.P.A pekee haitoshi...usahili lazima uhusike ima faima.

hewaraaa!! Wachawee! Nakuaminia mkuu!! Mwambie huyoo!!
 
Wanaume wengi hatujui tu vitu vizuri, ukikutana na mwanamke wa sampuli hioooo....Mmmmhh niwatamu kama kiazi kitamu cha kuoka!!! Hao wanaoitwa wazuri mmmhh ni majanga matupu wawapo kuleeee. mimi za kwangu ni wauza mboga, Mama Ntilie na wa dizaini hio.
mmmh.......sie wenye sura ngumu na shape za bilinganya mwaka huu tutakoma aisee!

Anyways......napita tu!
 
Wanaume wengi hatujui tu vitu vizuri, ukikutana na mwanamke wa sampuli hioooo....Mmmmhh niwatamu kama kiazi kitamu cha kuoka!!! Hao wanaoitwa wazuri mmmhh ni majanga matupu wawapo kuleeee. mimi za kwangu ni wauza mboga, Mama Ntilie na wa dizaini hio.

duuuuu! We ni mkalii!!
 
kichekesho ni kwamba karibia wasichana wote wazuri waliomaliza shahada ya kwanza (digrii) gpa zao ni nzuri sana kuanzia 4.0 na kuendelea na wenzao ambao hawana sura nzuri gpa ni ndogo sana kuanzia may be 2.1 na ndo tunapozungumzia digrii za chupi.
 
eggplant-hi.png
shapeapple1.jpg

heeeeee,tyta unawaudh watu ujue na mabiringanya yako
 
kichekesho ni kwamba karibia wasichana wote wazuri waliomaliza shahada ya kwanza (digrii) gpa zao ni nzuri sana kuanzia 4.0 na kuendelea na wenzao ambao hawana sura nzuri gpa ni ndogo sana kuanzia may be 2.1 na ndo tunapozungumzia digrii za chupi.

kwenye ajira nako???????wanakutana na wazee wa feva(HRs)
 
Mwenzangu!!!
Nyie mtunange tu.....ila kaeni mkijua kuna wenzenu hawalali na hawali wakashiba kwa ajili yetu. chezeiyaa ugly face wewe!!

Mchina....mmmh mmmh hapana. After all Mshinga is not "every man" so kila shetani na mbuyu wake!

im not Mshinga, neither.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom