Uzuri wa totozi za chuo Kenya

AM SORRY - THREAD INA BORE SANA HII -

SASA GREAT THINKER AFANYE NINI??? AFIKIRI NINI AU ACHANGIE NINI HAPA???

KWANZA INAONYESHA JINSI WANAFUNZI WENGINE WANAVYOKUWA WALEVI BADALA YA MASOMO - kama ni good time sasa ndio hapo vyumbani mwao???? :hurt:
 
Sijaona kitu kwa kweli mie nawajua wakenya kweli wapo warembo, lakini kwa hapa umetumwagia changa la macho.

naona wamekaa kishamba shamba michezo ile ya from 2 na sura zao hazivutii wala maumbo pia.

Kuna totoz zipo maeneo ya Mombasa za ukweli acha upupu huu:pound:
 
mkuu hawa kweli ndo wazuri, ha ha ha ha ha ha ha ha ha! duuuuuuu! anza kutumia miwani
 
Wamejitahidi kutopiga mikorogo ila si wakali kivile. Wangekuwa wa UDSM weeh! Si maanishi wote ila wanakuwa Pepsi-Mirinda kinoma.
 
Wamejitahidi kutopiga mikorogo ila si wakali kivile. Wangekuwa wa UDSM weeh! Si maanishi wote ila wanakuwa Pepsi-Mirinda kinoma.

Tukubali ukweli mademu wa kibongo wako bomba kwa sana ktk kila idara kuanzia sura, urembo, kuvaa nk kuliko hawa jirani zetu
 
Kama hawa ndo mademu wakali, wala hata sitamani kuwa na mwanamke,
1. Wana sura mbaya
2. Wana maumbo ya ajabu ajabu
3. Kwa kuwa ni wanafunzi nahisi wataalamu watakaotegemewa hapo watakuwa makahaba na walevi.
 
Japo inaaminika kuwa Mungu alimuumba mwanadamu kila mmoja kwa jinsi yake na uzuri wa pekee lakini Wakenya wanaongoza kwa sura mbaya! Hakuna kitu hapa! Kuna mrembo gani hapa? Manungayembe matupu!
 
infact watz n malaika kenya uganda,congo,burund ni wa kawaida cna hata ukiwaona damu haiendi kasi.
Pili mtoa mada aksante wala 2simlaumu mana najua kaamua ku2furahisha mana alijua reaction ni tofauti,hata kama hapa n home of great thnkerz bt sa ingne n lazima urefresh brain ka hv napita 2 na nimecheka cna tokana na coments zenu na nimepata nlichotaka,na nathan ndo purpose jamii photoz.nipen ingne nifurah ndugu zngu
 
Back
Top Bottom