Uzuri wa mwanamke

Uzuri wa mwanamke

Wadau uzuri wa mwanamke upimwa na nini? Urembo,tabia au kwenye 6×6 ,achilia factor zingine km kisomo,kazi n.k ceteris paribus
Vyote vitatu, i.e; Urembo, tabia na uwezo wa kumhudumia mumewe kitandani.
 
Ni ngumu kushauri kwa sababu kila mtu ana kigezo chake, kinachonifanya mimi nimpende mwanamke sio lazima na wewe kikufanye umpende. Kwa kuku shauri, kama unatafuta mke, jaribu kutafutiwa mke na wazazi kwa sababu wazazi kamwe hawawezi kukuingiza chaka, wataangalia vigezo vyote vya msingi vya mwanamke bora.
 
Sura nzuri, umbo zuri, tabia nzuri na mzuri kunako bed! Huyo ndiye mwanamke mzuri!!
Tunapojifanya eti ni tabia pekee, ni unafiki vyote hivyo vinahitajika ingawaje ni vigumu sana kuvipata vyote kwa mwanamke mmoja!
 
unategemea na machoni pako mwenyewe + rohoni kwako!!
 
tabia ndio kila kitu, sura na vingine vinaongezea.

Kumbukeni Tabia yaweza mfanya mwanamke aonekane kama mwanaume.
 
Kila mtu ana tafsiri yake uzuri...Na ni chaguo la mtu binafasi anapendelea nini kutoka kwa mwanamke!!
 
Ni ngumu kushauri kwa
sababu kila mtu ana kigezo chake, kinachonifanya mimi nimpende mwanamke
sio lazima na wewe kikufanye umpende. Kwa kuku shauri, kama unatafuta
mke
, jaribu kutafutiwa mke na wazazi kwa sababu wazazi kamwe
hawawezi kukuingiza chaka, wataangalia vigezo vyote vya msingi vya
mwanamke bora.

du aisee,iv aya mambo yapo kumbe
 
Tabia na sura ndio kila kitu kwa mwanamke kua mzuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom