Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,647
lazima uwe na mke atakayekufanya ummezee mate bana........... tabia itakuwa nyongeza tu.
hahahaaaaaa si ndo hapo........wote wenye tabia nzuri ndo waolewe
wenye uzuri wa sura si watabakia ma single ladies......ukiangalai kitu we
mwenyewe wasema mashallah na kuutukuza uumbaji wake maulana