Uzuri wa mwanamke

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
606
Wadau uzuri wa mwanamke upimwa na nini? Urembo,tabia au kwenye 6×6 ,achilia factor zingine km kisomo,kazi n.k ceteris paribus
 
Wadau uzuri wa mwanamke upimwa na nini? Urembo,tabia au kwenye 6×6 ,achilia factor zingine km kisomo,kazi n.k ceteris paribus

...kuna wimbo fulani unasema kuwa "uzuri wa mwanamke siyo urembo! ni tabiaa..."
 
...kuna wimbo fulani usema kuwa "uzuri wa mwanamke siyo urembo! ni tabiaa..."
Uliimbwa na S. Mapangala wa Kenya, huyu mzee nyimbo zake zote ni fundisho na ujumbe tosha, kwa waliopevuka wanaelewa ninenacho.
 
"UZURI WA MWANAMKE"naweza kusema kila mwanaume ana speciffic points zake,unaempenda wewe siwezi mm kumpenda katu,kwani mm naweza kumpenda dem mnywa pombe cause alewapo hupata kile ninachokikusudia,in short no special standard formular kutokana na tabia mbalimbali za wanadamu naona labda kuu ni KUHESHIMIANA
 
Wadau uzuri wa mwanamke upimwa na nini? Urembo,tabia au kwenye 6×6 ,achilia factor zingine km kisomo,kazi n.k ceteris paribus

Uzuri wa Mwanamke uko machoni mwake. Macho ya mwanamke ndilo geti la kwenda moyoni mwake, kamwe uzuri si mavazi yake wala urembo wake. Ukitaka kujua uzuri wa mwanamke muangalie machoni mwake utafaidi sana, try today.
 
Haya majibu yamekaa ki siasa sana ebu niambie.tabia yuko safi ki---- anayo kubwa hapo vip?
 
Back
Top Bottom