Umeonaeeh..
Tabia bana..zitajulikanika mbele ya safari
Ila kwanza sura na nyama viwe vya haja..
I wish pachaangu snowhite asipasome hapo nilipobold..
ha ha ha ha ...
haha.haha una visa wewe na ulivyo bold hadi asome tu
ka kuna mashitaka ya kujibu utanisaidia kujibu kabisaaa
leo unanichekeshaje ujue......
Ananiambiaga mke ni tabia..
Anataka wi-fi mwenye tabia njema
Wakati mie nataka alojazia na sura ya mdoli
Kwii kwiii kwiiii
HAHAHAHAAAA nimezidi kucheka sana sa akikwambia we unamjibuje!!
snowhite bana anataka awe na wifi mwenye tabia njema!!!!
mjini sura ndo mpango mzima mtoto ka sura ya avatar yangu hapo....
akuache ujichagulie alojazia jazia na reception ya maana
mhuu sifa zote hizo unazo husna?
Mbavu zangu mie..huyo hapo kwako huo wanja..mmmh
Sasa sijajua kama naye kajazia..manake miavatar si inatoaga kijisura tu!
Sema nabwabwaja tu hapa ..mwenyewe pachaangu snowhite akipita sasa hapa nakomaje!
Kweli bana demu mzuri sio mitabia..kama tabia si tungeoa masista wa kigangoni
uzuri wa mwanamke ni t.a.ko kubwa, hips za haja na baby face.
mwanamke reception
mwanamke figure
tabia kijijini kwenu!!
mi ndukiiiii!!
Mwanamke sura tabia tutavumiliana..........
sometimes binadamu tunakuwa waongo waongo ,,,,,,,, hivi akitokea mwanamke anasura chachu kama muheshimiwa wapigwe tu kwa maana tumechoka ila anatabia kama malaika wanaume tutamgombea kweli?
...kuna wimbo fulani unasema kuwa "uzuri wa mwanamke siyo urembo! ni tabiaa..."
Ni TABIA na si kingine chochote kiwacho.
tabia japo watu siku hizi uangalia sura na ------ lakini tabia ndo kila kitu
tabia ndio kila kitu jamani!
tabia ndio kila kitu, sura na vingine vinaongezea.
Kumbukeni Tabia yaweza mfanya mwanamke aonekane kama mwanaume.
Sio mwonekano?
Mie nadhani vyote tabia na mwonekano wake..
Tabia na sura ndio kila kitu kwa mwanamke kua mzuri.
conclusion uzur mwa mwanamke tTABIA cyo k2 kngne
Mwanamke sura tabia tutavumiliana..........
Umeonaeeh..
Tabia bana..zitajulikanika mbele ya safari
Ila kwanza sura na nyama viwe vya haja..
huyu anatabia nzuri sana....anatafuta mchumba....sometimes binadamu tunakuwa waongo waongo ,,,,,,,, hivi akitokea mwanamke anasura chachu kama muheshimiwa wapigwe tu kwa maana tumechoka ila anatabia kama malaika wanaume tutamgombea kweli?
mnato wa k. period
sometimes binadamu tunakuwa waongo waongo ,,,,,,,, hivi akitokea mwanamke anasura chachu kama muheshimiwa wapigwe tu kwa maana tumechoka ila anatabia kama malaika wanaume tutamgombea kweli?
mke sura mbaya..
Kimada ana bonge la english figuree............mie nawaangalia tu