Nambe, Hebu niambie hiyo dini yako inaitwa nini? Ilikuwa ni bahati tu, ulipoamka asubuhi ukamkuta uliye naye ni wa hiyo dini, otherwise, wewe, ungekuwa hapa kwangu na dini yangu, ya kwako umeisahau.
Nambe, usinichukie, niambie, huko kwa huyo jamaa ulipajua kabla hujaenda huko au ulikwenda tu na roho yako umesha mkabidhi mikononi mwake. Akutende atakavyo. A woman is not in her senses when in love