Uzuri wa magari ya automatic na manual...!!

ujue asilimia kubwa ya wabonge kitu tusipokifaham vyema huwa tunakimbilia kwa suluhisho kuwa ni kibovu au hakifai au hakitengenezeki. Ni kweli kila kitu kina uzuri wake na ubaya wake ila kwa kweli kwa madereva wa sasa wengi wao ni madereva wa magari ya automatic na kama utawapa manual basi ujue watashindwa kuendeshga au kuua gear box kabisaa na wengi wao wangepata sana ajari na kusababisha ajali. Ili kwa mim naona gari ya manual ni nzuri kawa sababau na vigezo vifuatavyo ............................................................ Nitarudi baadae kidogo ngoja nikaswali kwanza
jipange..usikurupuke!!
 
Nilijifunzia manual kuendesha gari pale VETA C-ng'ombe na baada ya hapo nikatafuta gari langu manual..kweli naona raha sana kuendesha gari la manual na uingizaji wa zile gia..nipo comfortable zaidi na manual sanasana safari ndefu!!

Halafu siyo kweli kuwa auto ni magari ya kike, wanaume kibao mjini nao wanakamua auto ukiachana wanawake..sijui ni preference ya watu!!
 
Habari wana JF??

Sie wengine magari ya manual tulijifunzia tu lakini tumekuwa tukitumia automatic kwa muda mwingi sana.

Ok, issue iko hivi...nimekuwa nikitumia gari yenye automatic transmission, sasa kuna jamaa yangu yupo Ulaya nikaomba aniangalizie gari ingine kutoka huko na kanitafutia gari nzuri sana ya 2008 ila ni manual. Kiukweli nimeipenda ila nilihofu kuhusu hiyo transmission yake na kila ninayemgusia ananiambia gari za manual si nzuri ukilinganisha na automatic. Swali ni je kwa nini bado zinatoka na Ulaya wanapenda manual zaidi kuliko Africa na Asia???

Tatizo ni kwamba sijapata mtaalam wa kunifafanulia hasa uzuri na ubaya wa gari za manual kushinda automatic.

Wataalam tumwagieni maujuzi kuhusu hii kitu ili niondoe hii conflict niweze kuchukua kitu nikiwa na raha kumoyo!!!!

Nawasilisha

Wasiozipenda gari zenye manual transmission ni kuwa wanaziogopa kuendesha tu. Ni gari nzuri sana hasa kwa ulaji wa mafuta.
 
View attachment 60837View attachment 60838

Wakuu nawawekea hii kitu, Forester SG5 , Cross Sports.
Hii mashine ninayo na nataka kukata mzizi wa fitna katika huu ubishani.

Hii mashine ni AT, lakini ukitaka kuingia sports mode, unatransfer into MANUAL MODE.
Picha ya kushoto inaonyesha unavyoweza kuchange from AT to MT(kushoto kabisa)
Angalia vizuri na gear change down ni (-), wakati gear change up ni(+).


Vyote hivi waweza kupata toka kwenye usukani, tazama vizuri switches za (-) na (+) kwenye usukani.

Hii yote kudhihirisha kuwa MT ni kiboko kwa power take off.
Wasalaam.
 
Source??...hapana mkuu,autos zimeanza kutengenezwa toka 80s huko,wangekuwa wana plan ya kuacha wangeacha long t..mimi nimejifunzia auto lakini saivi niko addicted na manual,huwezi kujiita dereva unless umeendesha manual..autos hata mwanangu wa miaka mitano Marcus naweza kumuelekeza akaendesha,you can't take any pride out of it..

Totally agree with you mkuu, you are not a real driver until you manage to drive a manual car
 
Watengeneza magari wako kibiashara zaidi na c kwamba lengo kuu ni kurahisisha maisha la hasha japo yote yana uzito tofauti.
Ukweli ni kwamba gari za Auto hazidumu muda mrefu ku compare na Manual so kwao ni biashara tayari na ndo maana gari za cku hizi ikisha pata mzinga basi kwishney wakat rover 109 au scania 111 au Fiat unaweza kukaa nayo mpaka vitukuu maana zinatengenezeka na spare ya chochote zipo wakati auto kama gia zinasumbua badala ya ku replace kinasombua unaambiwa ununue complete gear box....bush shit!!! Imagine Vitz ipate ajari...yaan hakuna ambacho kinatengenezeka...Manual haina ujinga huo.

Binafsi niko addicted na magari ya kizamani maana sina pressure ya spare parts na fundi yeyote anaweza kulitengeneza tena kwa garama nafuu sana.

Kwa taarifa yenu magari ya cku hizi yana time window (yana expire hahaha)
 
Kuna Automanual transmition, you have both options kelele za nini sasa?
peugeot-308-7.jpg

autoamanual1.jpg
 
Watengeneza magari wako kibiashara zaidi na c kwamba lengo kuu ni kurahisisha maisha la hasha japo yote yana uzito tofauti.
Ukweli ni kwamba gari za Auto hazidumu muda mrefu ku compare na Manual so kwao ni biashara tayari na ndo maana gari za cku hizi ikisha pata mzinga basi kwishney wakat rover 109 au scania 111 au Fiat unaweza kukaa nayo mpaka vitukuu maana zinatengenezeka na spare ya chochote zipo wakati auto kama gia zinasumbua badala ya ku replace kinasombua unaambiwa ununue complete gear box....bush shit!!! Imagine Vitz ipate ajari...yaan hakuna ambacho kinatengenezeka...Manual haina ujinga huo.

Binafsi niko addicted na magari ya kizamani maana sina pressure ya spare parts na fundi yeyote anaweza kulitengeneza tena kwa garama nafuu sana.

Kwa taarifa yenu magari ya cku hizi yana time window (yana expire hahaha)

Watu wanaenda na fashion bhana unanunua gari unakaa nalo mwaka au miaka miwili unatupa kule unanunua toleo jipya tena
 
Manual ina raha yake asikwambie mtu,unajihisi kweli unaendesha gari.unavyobadilisha mlio wa injini utakavyo inaleta raha kwa krach na acceralater
 
Inategemea unaongelea uzuri gani. kama ni urahisi wa kuendesha sawa ni automatic. kama ni ubora automatic hamna kitu ndugu. Wamezitengeneza kibiashara tu. Ndio mana nchi zilizoendelea hawatengenezi wala hawanunui.

Basi kama ni rahisi kutengeneza kama ilivyo kuendesha, hapa kwetu kuna viwanda vingapi? Au unamaanisha hizo auomatic zinatengenezwa nchi gani? Ni huku kwetu bongo ambako hatujaendelea au ni wapi? Mi nilikuwa naamini wenye viwanda vya kufyatua magari wanatengeneza Manual, Automatic na Automanual na kutuachia wenyewe tuchague tunataka nini. Kumbe si kweli nimefahamu leo kuwa jamaa waliopiga hatua wanatengeneza, na kununua manual tu! Asante kwa kunifungua akili. When I 'grow' up na kupata uwezo wa kumiliki na kujifunza kuendesha gari, basi nitajifunz kuendesha manual, na nitajaribu kununua manual coz I dont want to be branded a lazy person...or a girl, which I'm not!
 
kama unafanya kazi ya kukaa sana nakushauri ununue manual kwani inakufanya uwe bize barabarani kuliko ukiwa AT na kingne manual uaribikaji wake huwa ni mgumu sio sawa na AT na vile vile manual hadi upate ajali ni ngumu sana..

Hii manual unaendesha ukiwa 'umesimamia' kama baiskeli wakati wa kupanda mlima huku kwetu? Sie wengine wageni jamani. Kama hivyo ndivyo, basi itasaidia sana kwa wale wanaofanya kazi za 'kukaa sana'
 
Nimejiuliza sana hilo swali coz nchi zilizoendelea kuna gari manual ya mwaka 2012 sisi huku tunaona kama ni old fashion, naona umezidi kunifunua ufahamu wangu bro, thanx sana!!

Sio nchi zilizoendelea tu! Hapa kwetu asilimia kama 99 hivi ya magari ya serikali(TZ) ni mannual transmission.Ni yananunuliwa brand new! JIULIZE NA HILO MKUU!
 
Source??...hapana mkuu,autos zimeanza kutengenezwa toka 80s huko,wangekuwa wana plan ya kuacha wangeacha long t..mimi nimejifunzia auto lakini saivi niko addicted na manual,huwezi kujiita dereva unless umeendesha manual..autos hata mwanangu wa miaka mitano Marcus naweza kumuelekeza akaendesha,you can't take any pride out of it..

Kwa sasa kwa sababu kuna gari za manual kwenye circulation, nakubaliana na wewe kuwa huwezi kuitwa dereva kamili kama haujajua kuendesha manual kwa sababu when a need arises, itakuwa ngumu kuendesha MT kama unaweza AT pekee, wakati anayejua kuendesha MT ataendesha AT bila matatizo. But regarding the pride, well it depends on who you are and what you value. Who cares about pride? He drives AT, you drive MT,,,you both move around according to your different plans...plain and simple.
 
aa mm naipenda Manual kwani muziki wake naupenda unaweza kwenda mpaka 4, halafu ukarudi 3, lakini ukapitia clutch na ress kama 2 hivi ni lazima utanyanyuka katika kiti kidogo basi usingizi hauji, unakaa kidogo unaitupia 4, halafu ress 2 unaingia over (5)
Lakini AT unalikanyagia weeee watu watadhani ww ni mDADA Du shit

Huo ni udhalilishaji wa jinsia ya kike. Unataka kusema wadada ndio hawawezi kutupia hizo 4, 5, ress, clutch au? Come on...naamini hata hao wadada, wapo wanaoendesha magari maunal. Kama ni wachache basi itakuwa ni kutokana na wengi kuanza kumiliki magari kipindi hiki ambacho Auto ndio zime-dominate barabara zetu hapa bongo, na si vinginevyo!
 
Mkuu gari ni Manual achana na automatic za kike.Nilikuwa na ka-automatic basi ilikuwa kila siku ugomvi na wife yaani gari ikiwepo home tu yeye keshapata safari sasa tangu ninunue automatic aaahh raha tu manake ni mimi tu ndo nayeweza kuizungusha yeye zake lawama tu.

Huo sasa uchoyo...du! yaani hata kwa mkeo? Basi mnunulie na yeye ka-AT kake!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom