Uzuri wa kuoa single mothers na wadada over 35 years

Uzuri wa kuoa single mothers na wadada over 35 years

Karibu wote ulowataja hao watoto si wa kwanza...tatizo ni kama huna mtoto kabisa...kama ulishazaa unaweza zaa tena hata ukiwa 45 (ingawa wataalamu wanasema mtoto aweza kuwa na ulemavu wa akili)

Ntuyabaliwe Watoto wa kwanza , Joyce Kiria naye alipata mtoto wa kwanza 30+ , angalia na mionekano yao utawafananisha na 20's kina Wema na wengineo ??
 
hiyo ilikuwa zamani sana , labda kama unacomplication ambayo hata wa 18 anayo , watu tunazaa kawaida mpaka 40
Ukizaa una miaka 40 umezaa mjukuu au mtoto wako, yani kama hujui huyo mtoto atakua kama kitinda miba wakati kwako ndo wa kwanza. Changamka jua linazama.
 
30+ yaweza kuwa 31, 32, 33...je walikuwa 38, 39, 40 45? Hata mimi nimezaa nikiwa 30+ japo niliolewa na 29...

ila kwa sasa sitaki kusikia kuhusu kuzaa na nina 39...ntapumzika lini?...nende labor na wadogo zangu? hell no...

Huyo Ntuyabalilwe mtoe kwenye mahesabu maana hujui amezaa vipi na amezalia wapi,,, mambo ya fweza...

Ntuyabaliwe Watoto wa kwanza , Joyce Kiria naye alipata mtoto wa kwanza 30+ , angalia na mionekano yao utawafananisha na 20's kina Wema na wengineo ??
 
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.

*Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao.
*Wanakuwa washapitia changamoto nyingi zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui.
*Wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
wana mazuri mengi.

Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa.

Mkuu,hilo ni hadi ile dhana kwamba mume amzidi mwanamke umri iondoke. Bila hivyo wa kuoa 35+ lazima awe around 40
Je umri huo waoaji watakuwepo?
 
Popote ulipo Mafikizolo kam zis wei nikuwowe kama wewe ni singo maza!!
 
Last edited by a moderator:
Makabila mengine huwezi kuhesabiwa una mke...
Na ina influence sana wanaume wa haya makabila kutooa mdada mwenye mtoto unless mwanaume alishaoa before...
So inategemea ntu na ntu...

sometimes unapoamua kuoa kuolewa inabidi usiangalie kabila lako linaamin nin maana vingine vinanyima uhuru
 
altenative ya kwanza ikishindwa lazima uhamie nyingine..... ndio unachokifanya wew
 
Easier said than done...

Baada ya mwaka mkigombana na wife unaanza 'now I am beginning to understand my parents...ndio maana walikuwa hawakutaki'

sometimes unapoamua kuoa kuolewa inabidi usiangalie kabila lako linaamin nin maana vingine vinanyima uhuru
 
Mkuu,hilo ni hadi ile dhana kwamba mume amzidi mwanamke umri iondoke. Bila hivyo wa kuoa 35+ lazima awe around 40
Je umri huo waoaji watakuwepo?

mkuu hizo dhana na desturi nyingine zinatucost sometimes. Watu wengne wanashindwa kufanya kilicho chema kwao kwa kuogopa reaction ya jamii
 
Yawezekana ni kweli, ila kwa mimi kijana ambaye sijafika 30s nitawezaje oa mdada wa 35 na above, KAMWE siwezi oa msichana ambaye tayari ana mtoto. Haiwezekani mimi awe mtoto wangu wa kwanza kwake wa pili.
 
Ukiacha wanaofurahisha umati...huu ndio msimamo wa wanaume wengi tu...
 
Hapo ku fomati diski yahitaji moyo hasa maana wake kwa waume kwa umri huo unakuta maisha kashayaamua yaendaje!!!

Uwe na zali ukute mnashabihiana tabia tu akiwa tofauti hapo kubadilika ni aghalabu saaanaa
 
Ni wavumilivu sana na waelewa tofauti na hawa under 25

under 25 wanakuwa bado kufanya maamuz sahihi na mida hii ndo likely wana vimichepuko ving so hawajasettle walio weng (japo si wote)
 
ila kwa kweli mwanamke wkt wa kuolewa na kuzaa vyema asizidi 35 awe ashazaa...ili aweze lea na kusomesha watoto wkt nguvu ipo bado

Wengi wanasema kuzaa mapema kwanza hakuzeeshi na unalea watoto wako ukiwa na nguvu zako bado kijanaa
 
Back
Top Bottom