Uzuri wa kuoa single mothers na wadada over 35 years

Uzuri wa kuoa single mothers na wadada over 35 years

Mh,sa 35+ huo si umri wa kuburudisha mashabiki tu! Afu mpaka afikie umri huo wewe utakua unapiga punyeto tu
 
Kwa hiyo una maana wanaoa si kwa love ila wapate mke wa kuwalea??? Marioo????

Si unaona yalomkuta Mariah na serengeti wake...

Mi sikatai kuwa unaweza olewa umri wowote...lakini tafuta wa kufanana nae...else unajiingiza matatizoni...mi na wanangu wawili nkiachika na kutamani tena ndoa siezi olewa na kijana asiye na mtoto ...never! sidanganyiki n'go....


wanawaowa kwa sababu ya pesa na si penzi the same pia kwa wanawake mbona kuna wanawake wengi wanaolewa na wanaume wasiowapenda kisa pesa! usichezee umaskini my dear kuna nchi huwezi pata kazi, ardhi, hakuna biashara ngumu unafikiri ukipata mwanamke mwenye pesa utaangalia ana watt wangapi?
 
Menopause inategemea na mtu na mtu wengine wana pause ikifika 50 wengine adi 65.na kwa maisha ya sasa wengi wanachelewa kuolewa.hivyo basi haina shida kwa mtu wa kuanzia 30-45 wanazaa tena kwa njia ya kawaida na still bado wanalea watoto wao vyema.Inshu ya kusomesha wala sio shida.maisha ya sasa sio kama ya zamani security companies zipo kibao kwa ajiri ya elimu ya mwanao sdi chuo.na bado kuna opportunity ya mikopo ya eleimu ya juu.

Lakini ujuwe hapa unajidanganya mwenyewe na hujafanikiwa kudanganya watu wenye akili timamu.
 
Ni mke anayejua ni kwa nini anaitwa mwanamke, anayejua wajibu ana majukumu kwa mumewe, familia na jamii inayomzunguka
 
Sasaa above 35 wewe mwanaume hutaki mtoto...au utakuwa ni mwanaume ambaye unahitaji tuu kuishi bila mtoto?

Nani alikwambia wanawake wenye 35+ hawapati watoto?
 
hiyo ilikuwa zamani sana , labda kama unacomplication ambayo hata wa 18 anayo , watu tunazaa kawaida mpaka 40

kweli kabisa dada angu kazaa watoto wawili na above 40 na hakupata complication yoyote anachapa kazi kuanzia mwezi wa kwanza wa ujauzito hadi anajifungua mtoto wa mwisho kazaa na 45 hata hajawahi umwa kwa case ya mimba. complication kama zipo zipo tuu na kama age inachangia ni kwa asilimia kidogo
 
Du 35+ kote huko, yaani siku hizi dada wa 20 years anakuwa ameshapitia mahusiano zaidi hata ya kumi sasa wewe kama unataka wa 35+ utakuwa unataka aliekubuhu yaani yule ambae alishachoka mwili na roho. Cha msingi kama unataka wife material muombe Mungu sana akupe wife material lakini kutaka kuoa eti alieumizwa eti kwako ndiyo atatulia unajidanganya nakuambia tena wengine hao walioumizwa huwa wameshajiwekea nadhiri kuwa hatakuja kuolewa na sasa ukimshawishi sana atakubali ila ukimfanyia kisa tu kidogo anaanza kukulinganisha na waliopita nae so suala la kuwowa unatakiwa utulize akili maana ndoa ni zaidi ya boyfriend na girlfriend

uwongo mtupu mie nipo na 33 na mimepitia one relatiom tuu tena nliianza nkiwa na 28 ambapo ndo nliamua kuwa na bf baada ya kumaliza masomo na kupata ajira ndo kikaja kipaumbele cha ndoa hivyo sio wote above 30 wamepitiwa mawazo ya kukariri
 
eti 37+18=55 retirement age atasoma na mafao chuo maana saa hizo amemaliza fo six
 
35 yrs wa nini?kwani 20s wameisha?
Msituchoshe
 
uwongo mtupu mie nipo na 33 na mimepitia one relatiom tuu tena nliianza nkiwa na 28 ambapo ndo nliamua kuwa na bf baada ya kumaliza masomo na kupata ajira ndo kikaja kipaumbele cha ndoa hivyo sio wote above 30 wamepitiwa mawazo ya kukariri
28-33 bado unaitwa gf?
Halafu bado unajisifu?
 
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.

*Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao.
*Wanakuwa washapitia changamoto nyingi zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui.
*Wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
wana mazuri mengi.


Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa.

Hivi umeelewa ulichoandika hapo kwenye bold ya RED hao watu laiti wangekuwa wanajua kuhandle mume iwaje wawe single muda huo c wangekuwa kwenye ndoa zao!!?
 
Ndoa nyingi zina changamoto lakini nimegundua ukioa single mother au dada ambae ni 35+ hawa watu mara nyingi huwa ni wife materials ukilinganisha na hawa wenye age ya 20-35.

*Hawa watu wana commitment sana katika ndoa zao.
*Wanakuwa washapitia changamoto nyingi zinazohusisha mahusiano so huwa hawasumbui.
*Wengi wamekomaa kiakili na wanajua jinsi ya kuhandle mume na familia kwa ujumla
wana mazuri mengi.


Kama hujaoa ukipata watu wa namna hii usipoteze fursa.
but how did he failed to keep up with her first relation?
Don't judge book by its cover...
Most women are very smart if they stay alone: not when they live with their husbands
 
uwongo mtupu mie nipo na 33 na mimepitia one relatiom tuu tena nliianza nkiwa na 28 ambapo ndo nliamua kuwa na bf baada ya kumaliza masomo na kupata ajira ndo kikaja kipaumbele cha ndoa hivyo sio wote above 30 wamepitiwa mawazo ya kukariri
You are one in a millions
 
Huyo uwezo wake wa kuzaa utakuwa umepungua sana labda uoe kwa ajili ya starehe na watoto ni bahati kupata
 
Back
Top Bottom