Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
- Thread starter
- #21
my dada ICHANA napenda sana busara zako na jinsi unavyoyachukulia mambo kwa uzito na kihalisia zaidi,na mimi hapa wala sijakazia urembo wa mtu uwe ndio jambo la maana snaa bila kuzingatia tabia,ila ni kwamba je unaweza kuanza kumchunguza mtu bila kuvutiwa na kitu chochote kutoka kwake?kwa mfano wewe unaweza kutuambia ikiwa ulianza kumchunguza mumeo tabia zake moja kwa moja bila kuvutiwa na kitu chochote kutoka kwake?iwe ni sauti au tembea au chochote kile?
mmmmh tabia na uzuri ni vitu viwili tofauti
kama unaona uzuri ni muhimu basi kila mwanamke angeolewa ...tofautisha kutamani na kupenda
uzuri wake utakusaidia nini katika kulea familia???tunajidangnya vijana wengi wa siku hizi kutokan na kukua kwa sayansi na kuiga na ndo mana ndoa hazidumu...wazee waliangalia tabia zaid yauzuri ndo mana ndoa zimedumu
Last edited by a moderator: