Ndio mkuu si unakaribia tu Lakini haufi pia Kuna meditation ya kufa ambayo ukiifanya unaongea na wapendwa wako waliokufa.Kwenye meditation hiyo ya matukio ya nyuma kupita kama filamu hua inatokea¡ kwa hiyo hapo umekuwa umekaribia kifo mkuu?
mkuu! Nadhani imekaa kiscience zaidi, yani nipozangu nimerelax siumwi, halafu unakaribia kufa?Ndio mkuu si unakaribia tu Lakini haufi pia Kuna meditation ya kufa ambayo ukiifanya unaongea na wapendwa wako waliokufa.
Sawa doctor basi niseme moyo umepata hitilafu ili hoja yangu ieleweke.
Bado! Mkuu....Umewahi kufanya meditation ya kufa?
hiyo tahajudi ni hatari sana nishawahi ifanya unaweza kuifanya ukafa mazima mtoa mada yupo sahih unachungulia kifo ukishaifanya kamwe hutoogopa chochoteBado! Mkuu....
Atimize ndoto zakeLengo lako ni nini?
Duh.... mimi nafanyaga breathing tu! mkuu...hiyo tahajudi ni hatari sana nishawahi ifanya unaweza kuifanya ukafa mazima mtoa mada yupo sahih unachungulia kifo ukishaifanya kamwe hutoogopa chochote
hiyo tahajudi ni hatari sana nishawahi ifanya unaweza kuifanya ukafa mazima mtoa mada yupo sahih unachungulia kifo ukishaifanya kamwe hutoogopa chochote
lengo kuu ni kupata utulivu au wew unafanyaga kwa malengo gan?Duh.... mimi nafanyaga breathing tu! mkuu...
sio kuogopa tu pha siwezi kuumizwa mpaka nitake mimInafanyikaje?
Kwahiyo saaa hivi huogopi chochote?
Inafanyikaje?sio kuogopa tu pha siwezi kuumizwa mpaka nitcrocheted?
kwel mkuu ila ni hatari sanaMeditation ya kufa Ina faida zake.
unalala chali unatulia mwili wa nyama unakufa ganzi unaamka kama nafsi mwili unabaki pale chini unatembea unavyotaka unaweza kupita hata kwenye ukuta kama hujawah unaweza kupiga keleleInafanyikaje?
Mshana Jr, ndio mambo yake haya
Rafiki unataka kufa? 😂Inafanyikaje?