Umeandika vizuri sana kasoro hapo ulipomwingiza Kikwete.
Huo ni ujuha wa hali ya juu kutaka kutia siasa katika mambo kama haya.
Kikwete kawakaa sana rohoni, hakiwapiti mpaka mumtaje! Mnanshangaza!
Duuuuh?Umeandika vizuri sana kasoro hapo ulipomwingiza Kikwete.
Huo ni ujuha wa hali ya juu kutaka kutia siasa katika mambo kama haya.
Kikwete kawakaa sana rohoni, hakiwapiti mpaka mumtaje! Mnanshangaza!
Kila atajwapo JK lazima uje mbio mbio Una nini naye?
Wapenzi mpira kwa uwekezaji huu naamin ili kuteka soko la Afrika mashariki na kati wataanza kurusha ligi pendwa kama Epl na UEFA.... Tido ni chaguo sahihi kuipeleka Azam tv hatua nyingine... Hongera sana Azam Maria Group...
Kwa studio kama iyo hao watangazaji sasa inabidi wakajifunze kwa wenzao wa citizen ya kenya wanavyojiachia kwa kutangaza na lugha sahihi . Sio hapa watangazaji hawajui hata kutofautisha R NA L yani huwa inakera sana..ukiangalia news citizen yani unasikia raha kwa kiswahili chao sahihi
upo sahihi kaka.
Aisee! Utafikiri Studio za Aljazeera. Shikamoo Bakhressa.
Hongereni Sana Azam Tv
nategemea waajiriwa dini haitokua kigezo ili kuajiriwa.
Kupitia azam tv tangia jana wako onlinemkuu citizen unaingalia kupitia kisambuzi gani? mara ya mwisho kuiona ilikuwa lini?
Ndugu SIERA, umenikumbusha baba aliyenunua viatu vya kuchezea mpira (siksimeno) kwa US $400 vya mwanae eti akiamini ataweza kucheza kama Messi!Kwa studio kama iyo hao watangazaji sasa inabidi wakajifunze kwa wenzao wa citizen ya kenya wanavyojiachia kwa kutangaza na lugha sahihi . Sio hapa watangazaji hawajui hata kutofautisha R NA L yani huwa inakera sana..ukiangalia news citizen yani unasikia raha kwa kiswahili chao sahihi
Kupitia azam tv tangia jana wako online
Aubona haulizi kuwa dr dau ameajiri wAkristo wangapi
Zinafunguka wapigie simu wakuhamishie azam play by default wameweka watu wote kwenye 15000. Mie nazipata baada ya kahamishiwa azam playMkuu vipi na hizi chanel ambazo hazifunguki hata kama umelipia 20000?
Sasa hivi wamesitisha mwatangazo mpaka hapo watakapokua na kisimbuzi chao, waligoma baada ya mitambo ya analojia kuzimwa. Wapo katika mchakato wa kuzindua kisimbuzi chao mda si mrefu, sina uhakika kama baada ya kuja na kisimbuzi chao watapatikana tena kwenye visimbuzi vingine.