huyo aligeuza kifo cha mmewe mtaji ndani ya mwaka mmoja kashapewa mil zaidi ya 6 na bado gharama za mazishi cdm waligalamia bado haliziki..
Huyu Matola pimbi sana dume zima limehifadhiwa na shemeji kwa maana nyingine na yeye kaolewa; hivi kwao hakuna miiko. Mkuu Ritz kwetu matusi makubwa haya nikiyasema nitakula ban, dume zima hata kujitegemea haliwezi linakula fadhila za shemeji, mwambie anyamaze wanaume wakiongea kwa hiyo yeye na dada wote wanaanika chupi nje pamoja, hili jamaa **** linaogopa kuyakabili maisha?
Chama
Gongo la mboto Dsm
mkuu chama! CDM ni kikundi cha ma opportunist wanaoendekeza .. udini na ukabila na ukanda ...! nimesikitika sana kitendo chao cha kutengeneza CD kifo cha Mwagosi na kuanza kuziuza ...
Mkuu hii ndiyo iliyonisababishia ban. Huyu mama mume wake kutokana na nature ya kazi yake asingeweza kukusanya kiasi cha mil 6 aliyopewa huyo mama hata kwa miaka miwili. angekuwa na akili angefungua biashara.
chama ameanza matusi, sidhani kama ni yeye, nadhani kuna mtu anatumia id yake.
Mkuu chama,
Cha kushangaza kuna uhuni wa Chadema wanaufanya wanauza CD Mwangosi (R.I.P) halafu wanasema wanamsomesha mtoto wa marehemu kwa gharama zao Chadema...hizo pesa za mauzo ya CD zinakwenda wapi?
Mkuu Mungi huyu jamaa ameshaanzisha thread inayohusiana na hiyo anayoita video ya kifo cha mwangosi na keshajibiwa sijui kinacho mfanya kung'ang'ania nini? Au nikuishiwa na hoja?Ritz kuwa mstaarabu! Zile cd hazijawa titled Mwangosi. Mauaji ya mwangosi na wengine wengi ni moja ya habari zilizorekodiwa kama sehemu ya harakatina changamoto walizokutana makamanda kwenye M4C.
Ingekuwa special kwa ajili ya mauaji ya mwangosi pumba zako zingekuwa na mashiko.
Mkuu Mungi huyu jamaa ameshaanzisha thread inayohusiana na hiyo anayoita video ya kifo cha mwangosi na keshajibiwa sijui kinacho mfanya kung'ang'ania nini? Au nikuishiwa na hoja?
Kila la kheri mkuu chama nasubiri gwanda langu mwezi wa 12 kiuno ni 33 na Mimi Ngoja nikatengeneze kimeo changu kina miss kibao
Gwalihenzichama wa Gongo la mboto, kwani ID yako umemuazima mtu anaitumia badala yako? siamini kama ni wewe unaweza ukawa unauliza maswali ya kipumbavu kama haya! ni nilini nilikutangazia kuwa mimi ni mwanachadema?
Mkuu nimeamini Ritz ni janga la taifa. Bahati nzuri au kwa nia njema kabisa, watanzania wamewaelewa hawa watu.
Nchi hii tunataka tuwapate viongozi wenye dhamira njema na tanzania. Chadema pekee imeweza kuonyesha kwa vitendo kuwa Ukombozi wa Tanzania tunayoitaka upo mikononi mwa watanzania wenyewe.
Ritz kuwa mstaarabu! Zile cd hazijawa titled Mwangosi. Mauaji ya mwangosi na wengine wengi ni moja ya habari zilizorekodiwa kama sehemu ya harakatina changamoto walizokutana makamanda kwenye M4C.
Ingekuwa special kwa ajili ya mauaji ya mwangosi pumba zako zingekuwa na mashiko.
Ritz kuwa mstaarabu! Zile cd hazijawa titled Mwangosi. Mauaji ya mwangosi na wengine wengi ni moja ya habari zilizorekodiwa kama sehemu ya harakatina changamoto walizokutana makamanda kwenye M4C.
Ingekuwa special kwa ajili ya mauaji ya mwangosi pumba zako zingekuwa na mashiko.
Mkuu hii ndiyo iliyonisababishia ban. Huyu mama mume wake kutokana na nature ya kazi yake asingeweza kukusanya kiasi cha mil 6 aliyopewa huyo mama hata kwa miaka miwili. angekuwa na akili angefungua biashara.
chama ameanza matusi, sidhani kama ni yeye, nadhani kuna mtu anatumia id yake.
Mkuu nimeamini Ritz ni janga la taifa. Bahati nzuri au kwa nia njema kabisa, watanzania wamewaelewa hawa watu.
Nchi hii tunataka tuwapate viongozi wenye dhamira njema na tanzania. Chadema pekee imeweza kuonyesha kwa vitendo kuwa Ukombozi wa Tanzania tunayoitaka upo mikononi mwa watanzania wenyewe.
Kwenye uzi huu nakumbuka niliaga na nikamualika Mwita Maranya tuonane kwa Chota Banana kwa ajili ya lunch ya ugali wa muogo na Mix kichuri.Mkuu Mungi
Yaani wahakiki mali wa Chadema wameona thamani ya maisha ya marehemu aliyefariki ni mil. 6? Yaani mna tathmini uhai wa mtu kwa pesa? Ni wapi pesa zimenunua uhai? Pamoja na kwamba marehemu kipato chake kilikuwa kidogo elewa hakuna pesa itakayoziba pengo lake.
Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
Kwenye uzi huu nakumbuka niliaga na nikamualika Mwita Maranya tuonane kwa Chota Banana kwa ajili ya lunch ya ugali wa muogo na Mix kichuri.
Safari yangu ya leo ilikuwa kwenda kutembelea wafungwa gerezani bila kujali kuwa ninaye mjuwa au lah, ili jambo huwa nalifanya kila weekend mungu akiniwezesha.
Nakupongeza sana chama kwa sababu umeshinda maisha na waliopo Tanzania wote ni wachovu kwako, na tunakuonea donge kwa mafanikio yako ambayo mimi sikujui wala wewe haunijui na hatujawahi kuonana. hongera sana Great Thinker.
Nimesikitishwa sana kuona thread hii imefikia hapa, kutoka Chadema yafunika Uzinduzi wa kampeni zake daraja mbili hadi kumshambulia Anonymous.
Ni hivi, William Malecela amekaa New York miaka 23 na si miaka 15 kama ya chama hapo DC, na mpaka tunavyozungumza William Malecela ni kula kulala kwa baba na mama pale Upanga Sea view, and this will be the same to chama, mbwembwe za kubonyeza keyboard si upiganaji wa kuingiza fedha.