Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA kata ya Daraja Mbili - Arusha | Page 19 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA kata ya Daraja Mbili - Arusha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mungi, Oct 6, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,998
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Kwanza kabisa niwapongeze mods kwa busara zao za kipekee, maana kama siyo wao leo hii ningekuwa naendelea kuugulia ban.

  Muda huu nipo kwenye eneo la mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika uwanja wa Ndarvoi uliopo katika kata ya Daraja mbili.

  Watu wanaendelea kuingia kwenye eneo la mkutano, tutaendelea kuwajuza kwa kila kitakachokuwa kinaendelea.

  Jf daima!

  Yupo pia Pepe mwimbaji machachari wa nyimbo peoples power, amekuja na cd za matukio ya M4C, zinaonyesha mpaka tukio la mauaji ya Daudi Mwangosi aleliyeuawa na polisi pamoja Ally Zona aliyeuawa morogoro

  UPDATE:
  Tayari makamanda Lema, Milya, na Nanyaro wameshaingia uwanjani.
  Uwanja umefurika. Picha mtazipata.
  Mkutano unafunguliwa kwa dua.

  JAMES MILYA:
  Ndugu zangu ni mara yangu ya kwanza kumnadi mgombea wa chama changu kipya kumnadi mgombea wa chama chetu tokea nilipovua gamba.
  Tumedhamiria kubadilisha hali ya kisiasa nchini kwa vitendo, tuhakikishe tunamchagua diwani wa cdm.
  Inasikitisha Mnally aliyewachapa viboko waalimu akafukuzwa, leo ccm wanamchagua kuwa kiongozi.
  Ndugu zangu tunamleta kamanda msofe (mgombea), mchagueni akawashughulikie panya kwenye halmashauri yetu.
  Mtupatie jembe hili litusaidie kwenye harakati za kuleta maendeleo.
  Nimekuwa ccm, wana agenda tatu tu.
  Agenda ya kwanza, kufungua kikao, ya pili muhtasari wa kikao kilichopita, ya tatu, kujadili hali ya kisiasa nchini. Hawajadili kero za wananchi.
  Taarifa za ccm:
  ndugu zangu watu hawa ilikuwaonyesha kuwa wamepata nguvu ndani ya arusha, wamedhamiria kutembea kila kaya, wako tayari hata kugawa laki kwa kila mtu. Hivyo pokeeni hizo hela ni za kwetu, kura tumchague kamanda msofe.

  NANYARO:
  ndugu zangu, leo hii tupo mbele yenu, na daraja mbili ni zaidi ya jimbo, na nimfikishie salamu mgombea wa ccm bw. Mushi, kuwa chadema tuna diwani wa daraja mbili, ccm wana mgombea wa daraja mbili.
  Chadema tunasema kuna manunuzi ambayo tunaweza kufanya nje ya vikao kwa maendeleo ya wananchi.
  Tuna mambo ya msingi ya kutaka kuokoa maisha ya wananchi.
  Kuwaondoa wamachinga mjini ni bomu ambalo litalipuka si muda mrefu.
  Kamanda Nassari amekamua vya kutosha.

  LEMA:
  wali wakushiba unauona kwenye sahani, hapa biashara imekwisha.
  Milya anaendelea kutupa taarifa kuwa vijana wake aliowaacha ccm wanampa taarifa kuwa ccm wameaanda zaidi ya mil 500, wapo tayari kutoa laki kwa kila mtu ili washinde hii kata.
  Tumeanzisha M4C, tumegawana kwa kanda, mimi nimepangiwa kanda ya kaskazini. Umaskini siyo uadilifu, tunapiga vita umaskini usiku na mchana. Leo umaskini unaendelea kuwakandamiza watanzania, tutapiga umaskini vita hata kwa figo zetu.
  Ndugu zangu hatuwezi kuichagua ccm, maisha ni ngumu hali ni mbaya.
  Kazi ya chadema ni kupiga vita ujinga, na kuwaelimisha watanzania.
  Msofe tunakutuma kwenye halmashauri, kazi yako ni moja, pigania wanyonge, wewe ni baunsa, katumie ubaunsa wako kuwashughulikia panya wa halmashauri.
  Lengo la chadema siyo kushinda, lengo la chadema ni kushinda na kulinda haki na uadilifu, tuwapate watu watiifu wakuwaongoza watu. Ukileta zakuleta tunakumwaga chini.
  Kitu ambacho kikwete atasababisha katika nchi hii ni kumwaga damu za watanzania kwa misingi ya udini.

  Picha:

  DSC03720.JPG
  Kamanda Lema akimtambulisha mgombea udiwani wa kata ya Daraja II Bw. Msofe


  DSC03706.JPG Kamanda Lema akitoa usia
  DSC03705.JPG Mbunge aliyeko Honeymoon akikamua jukwaani
  DSC03702.JPG Umati wa wananchi waliohudhuria Mkutano wa uzinduzi wa kampeni Daraja Mbili
  DSC03704.JPG
  Dongo Janja na Lema hawakufahamiana barabarani.

  [​IMG]
  Kada maarufu wa CCM Mzee Zacharia akikabidhiwa kadi ya chadema, tukio likishuhudiwa na Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Arusha Kamanda Nanyaro (kushoto), Mbunge Lema na Msofe wa pili kulia
  DSC03695.JPG Kamanda Ephata Nanyaro akikamua jukwaani
  DSC03684.JPG
  Umati ukishuhudia uzinduzi wa kampeni
  Umati 3.JPG Wali wa kushiba unauona kwenye sahani
  Pepe na shabiki machachari wa chadema.JPG
   

  Attached Files:

 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #361
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,104
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Chama; huo unaouita ni ushamba more than 80% ya Watanzania unawahusu!
   
 3. m

  malaka JF-Expert Member

  #362
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ombi kwa mods:

  Jaribuni kutusaidia kuelimisha watu juu ya uchangiaji humu JF. Wengine tunakuwa keen kwenye updates na comments muhimu za habari husika. lakini hili swala la kuwa na page zaidi ya kumi na zote ni kashfa, majigambo na vitu visivyoeleweka inapoteza maana halisi ya hii forum.
   
 4. c

  chama JF-Expert Member

  #363
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,005
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mkuu narudia tena jahazi umelipandia sipo

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 5. c

  chama JF-Expert Member

  #364
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,005
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mkuu Matola
  Usichomoe wewe ndio kinara wa kuanza matusi na kashfa za kidini ukiishiwa na hoja unakimbilia silaha sumu; ID zako tunazijua hata ukiweka kwenye ignore list nitahahakikisha ujumbe unaupata, wewe si unadai mtoto mjini? tuone nani kati yetu atakimbilia kwa mods ulidai base yako Tokyo namekupa salamu kijapan umezipata? Huwezi kusema base yako Chole samvula halafu usijue kucheza vanga na tokomile; huu ni uwanja wa kuelimishana ila kama unataka kuugeuza uwanja wa matusi na kashfa za kidini tuendelee na game. Naona hapo kwenye red ndio lugha zako kubwa inaonyesha jinsi ulivyokosa ustaarabu unataka kuniambia ulikosa neno sahihi mpaka utumie kauli za kifedhuli.

  Chama
  Gongo la mboto DSM
  CC Ritz, Mungi, zomba, Saint Ivuga
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. c

  chama JF-Expert Member

  #365
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 8,005
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Mkuu Ritz
  Matola siasa hajui ameingia kuganga njaa tu; sijamuona leo jamvini kaingia mitini au katengeneza ID mpya kuchungulia upepo; mwambie arudi tuongee siasa. Hawezi kukimbilia mods yeye ndie anayeanzisha matusi na kashfa.

  Chama
  Gongo la mboto DSM
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #366
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,723
  Likes Received: 14,898
  Trophy Points: 280
  Aisee nilikuwa sijui kama wewe ni Verified user, samahani kwa kudhani wewe ni Anonymous.
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #367
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,723
  Likes Received: 14,898
  Trophy Points: 280
  Nikiwa siko online maana yake niko kwenye outside world, kuniita mimi mganja wala haitonibadili kitu kwa sababu inafahamika vyema waganga njaa wote wapo CCM kugangaa njaa zao na si vinginevyo. mnataka kuuwana kwa vyeo vya Unec na UVCCM kuna nini huko?

  [​IMG]

  [​IMG] MwanaCCM akijiandaa kuhudhria mikutano ya Chaguzi za Rushwa.
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #368
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,250
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  Mkuu chama,
  Jamaa kaamua kuleta India Culture (Sukmynsiem) hoja zimeisha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #369
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,723
  Likes Received: 14,898
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #370
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,998
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Sasa Ritz na chama ndo mmefanya nini mpaka jamaa yangu amepelekwa sero? nyie bana dah! haya bana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #371
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,250
  Likes Received: 4,690
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mungi,
  Jamaa yako anaropoka sana matusi anashindwa kupambana kwa hoja, atarudi soon ban za siku sio kubwa siku 3 au wiki.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #372
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,998
  Likes Received: 485
  Trophy Points: 180
  Mkuu wewe na chama mna roho kama ya kamuhanda hamfai kabisa! mnamlazimisha mtu kwenda sero kwa nguvu bana. Infact nyie mlikuwa nje ya mada, mmetoka kwenye point mkaanza kumshambulia yeye mwenyewe personally.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #373
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,723
  Likes Received: 14,898
  Trophy Points: 280
  I see, kumbe heri ambao huwa tunaingia JF kama Guests na kuchangia kwa nadra sana.
   
 15. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #374
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,565
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Kwi kwikwikwiii
   
Loading...