Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA kata ya Daraja Mbili - Arusha

ha haa ha...Copy to Matola, Saigon, No fear, Multiple ID`s at work...
247597_285827941521085_747593299_n.jpg
Tumia Avator hii itakusaidia zaidi.
 
Mkuu No fear sasa umeanza kunifurahisha na hiyo mipicha ya wajitoa muhanga na wavaa pedo tuwekee na ile filamu iliyowafanya wapandwe na jazba hawa wala pilau na wanywa gahawa. Mkuu Mungi muda wa ban umewadia
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Precise pangolin kwa hii hapa halafu u comment kama unavyoweza, unapigwa ya miezi sita. wengine Jf imekuwa nyumbani baada ya nyumbani!

E+A8H8BnuS33TWTPDsAAAAASUVORK5CYII=

E+A8H8BnuS33TWTPDsAAAAASUVORK5CYII=
 
Kweli kamanda, kuna baadhi ya members wanakera sana wanatusababishia ban.
Eneo la mkutano ni padogo, na hili liwe jambo la kulipigania kuhakikisha kunakuwa na maeneo ya wazi.

Tujitahidi kuwa tunachagua viongozi wenye nia na dhamira njema na wananchi wa nchi hii.
Ni aibu mtu mmoja tu anamiliki zaidi ya ekari 15 halafu watu hawana maeneo, serikali haina eneo la wazi kufanyia mkusanyiko

Mkuu Mungi
Hapo kwenye red unajua mzee Mtei anamiliki ekari ngapi? Hebu tujuze mkuu

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi
Hapo kwenye red unajua mzee Mtei anamiliki ekari ngapi? Hebu tujuze mkuu

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz

Mimi sio Mungi, ila hata kama ni kweli Mzee Mtei anamiliki iwe heka 15 au zaidi hiyo hai-justify serikali ya ccm kuruhusu watu kujimilikisha au kumilikishwa ardhi in un-ethical manner!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Huyu mshamba inaonekana hajatokea Kamuchumu mjini si unajua vjijini kuna sehemu wanaziita mjini sasa jamaa katokea ndani zaidi; mshamba mkubwa bado tongotongo za Kamuchumu hazijamuisha; Mkuu inawezekana ana air mileage za Air Tanzania; jamaa ni mjomba wa kutopea yaani sijaona; itabidi tufanye mawasiliano na Le mutuz wamkaribishe kwenye ukoo naamini mzee Malecela hatakuwa na kinyongo kumkaribisha kwenye familia.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Mungi Matola

Halafu mnajifanya kuwa mnajua Watanzania wa kawaida wanahitaji nini? Tell you what? Kila mnachokisimamia nyinyi kiko against interest ya common Tanzanians. Na hiyo ndiyo itakayowafanya Watanzania mnaowaita washamba wawashugulikie tena kwa kibali cha Mungu
 
Last edited by a moderator:
Mimi sio Mungi, ila hata kama ni kweli Mzee Mtei anamiliki iwe heka 15 au zaidi hiyo hai-justify serikali ya ccm kuruhusu watu kujimilikisha au kumilikishwa ardhi in un-ethical manner!

Mkuu Mtoboasiri
Nimeuliza tu kwa nia njema tu sababu humu JF kila jambo baya ni CCM lakini ajabu hutawasikia hata siku kueleza undani wao pesa au mali walizonazo wamezipata vipi; ila wakiwa kwenye majukwaa ni kulaghai wananchi kueleza ubaya wa CCM ilighali wao wananufaika na ubaya huo wa CCM

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Halafu mnajifanya kuwa mnajua Watanzania wa kawaida wanahitaji nini? Tell you what? Kila mnachokisimamia nyinyi kiko against interest ya common Tanzanians. Na hiyo ndiyo itakayowafanya Watanzania mnaowaita washamba wawashugulikie tena kwa kibali cha Mungu

Mkuu Mtoboasiri
Naona jahazi ulipandia sipo !

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu Mungi
Hapo kwenye red unajua mzee Mtei anamiliki ekari ngapi? Hebu tujuze mkuu

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz

Mkuu chama,
Swali jiwe ilo hakuwezi kujibu umesahau Mzee Mbowe naye ana ekari ngapi Hai.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Swali jiwe ilo hakuwezi kujibu umesahau Mzee Mbowe naye ana ekari ngapi Hai.

Mkuu Ritz
Najua ninachomuuliza sasa labda aseme kama Mbowe na Mtei ni Chadema lakini wanaishi kiccm

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Name calling MOD ama moo busy kula tende na Kashata? Nimeripoti Abuse

Wewe kweli unaumwa Mention ni Name Calling? Wambie Mods watoe huo utaratibu...tende na kashata pamoja na kahawa ndio biashara yangu kubwa, saizi nipo kwenye kahawa karibu.
 
Back
Top Bottom