Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA kata ya Daraja Mbili - Arusha

Chini ya utawala wa chama cha mabwepande watoto wa mafisadi kama huyu chama na wengine wengi wamejazana huko marekani wakiwa na uraia wa huko lakini wakati huo huo wana uraia wa Tanzania kinyume na sheria zetu ambazo haziruhusu kabisa uraia wa nchi mbili.

Ndio maana wako radhi kufanya chochote ili ccm iendelee kuwepo madarakani kwani kinyume chake watakufa njaa baada ya muda mfupi tu chama kingine kikikamata usukani wa nchi hii.

Na walivyo wajinga wanaamini Watanzania wa leo hii wanaweza kulishwa ujinga kama zamani!
 
Na walivyo wajinga wanaamini Watanzania wa leo hii wanaweza kulishwa ujinga kama zamani!

Mkuu hii thread ilikuwa inaelezea live update ya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za chadema daraja mbili. hawa jamaa kwa kukosa hoja, na kutokana na akili zao za kuunga unga wakaigeuza kuwa uwanja wa kebehi, fitna na majungu.
watanzania wa leo wanaona kwa macho, wanasikia kwa masikio. ni watu wa kuweza kuamua.
Bahati mbaya sana kuna watu wanajidai wana uchungu na tanzania, huku wakila upepo mwanana kwa kutumia kodi zetu vibaya.

nakala: chama zomba Ritz
 
Last edited by a moderator:

Wakaamuwa kuwapa viti vingapi vya madiwani? ubunge? Rais? mpaka sasa!
 
chama kwanza futa mapovu yanayokutoka, umenichekesha sana kusema kwamba nimedunda Viza kama siyo US basi ni UK, labda tu nikuweke wazi kuanzia leo mimi sihitaji sifa za kijinga, kwanza kwa biashara zangu sina uhitaji wa kuja US bali huwa nakwenda UK, na main Destination yangu ni Japan.

Kuna ujinga naona hapa JF kuna baadhi ya wapuuzi mpaka leo wanadhani kujitambulisha wanaishi nchi fulani ni sifa!! hizo ndio zinaitwa sifa za kijinga, Karibu sana Japan nikufundishe biashara na uache kutegemea Baba na Mama nakuona wengine ni wajinga.

Maneno ya kijinga kama unayoandika mshamba kama wewe ndio yalituponza wengi tuliozaliwa Dar es salaam nakuwaona wengine ni mafala tu matokeo yake watu wanatoka na wanawagonga Dada zet huku sisi tukugeuka kuwa ndio mafala.

Mtaa wa Congo kariakoo zamani ulikuwa ni mtaa wa kuuza samaki aina ya Sangara, wamakonde wakaja wakajipenyeza na kuanzisha biashara ya mitumba na wengi wao mpaka leo hii wamebadili biashara na ni matajili wa kutupa.

Kariakoo ya leo matajili ni Wakinga ndio wanaomiliki magorofa na isitoshe wengi wao wameishia darasa la saba, na wale wanaojiona wazawa kama chama wana kijiwe chao kinaitwa Saigon pale kariakoo kazi yao kubwa ni kunywa kahawa na kusifia utajili wa Bakhresa na wengi wao watoto wao ndio mateja wakuu wa pale kariakoo na mabinti zao ndio wauza uchi.

Sasa nacheka sana linapotokea bwegge kama huyu chama kuona uwepo wake US ni tija, labda nikuulize katika Hotel zilizopo Dar, achana na Hotel kubwa bali hizi hizi za gorofa tatu za 50,000/= per night chama unamiliki ngapi?
Karibu sana Machida, Tokyo Japan ndio base yangu uone wanaume tunavyoingiza pesa na uje Dar es salaam nikuoneshe ni nini assets zangu na ndio maana nina jeuri ya kuifadhili Chadema.
 
Mkuu Mungi
Inakuwaje Ritz awe janga la taifa? kwasababu hakubaliani na sera za Chadema au kwasababu ni mwanaccm anayesimamia itikadi za chama chake? Tanzania tulishapata uhuru siku nyingi huu ukombozi unaopiganiwa na Chadema ni upi? Hebu nielemishe kwenye hilo.

Chama
Gongo la mboto DSM

KAFU BWANA WAKO CCM PIA WAKO KAFU at the same time.
 
Mkuu hii thread ilikuwa inaelezea live update ya mkutano wa uzinduzi wa kampeni za chadema daraja mbili. hawa jamaa kwa kukosa hoja, na kutokana na akili zao za kuunga unga wakaigeuza kuwa uwanja wa kebehi, fitna na majungu.
watanzania wa leo wanaona kwa macho, wanasikia kwa masikio. ni watu wa kuweza kuamua.
Bahati mbaya sana kuna watu wanajidai wana uchungu na tanzania, huku wakila upepo mwanana kwa kutumia kodi zetu vibaya.

nakala: chama zomba Ritz

Mungi,
kejeli na kebehi umeaza wewe hoja za kipumbavu zinajibiwa na majibu ya kipumbavu.
 
Mjadala ulikuwa unakwenda vizuri mpaka kamanda Matola alipoanza maneno ya kebehi hapo ndipo alipodili mwelekeo mzima wa mjadala; rudia kuzisoma post za nyuma utaona ni nani hasa alianza kubadili upepo; sasa mkuu unataka tuwe na uchungu na Kenya? Mbona unatutenga kwenye kujadili mabadala wa taifa letu? Pamoja na kwamba tunahitilafiana kiitikadi naamini wote wanaoshiriki kwenye mijadala ya JF wanaitakia mema Tanzania; mkuu upepo mwanana upi unaoungelea? Wote tunajituma na maisha hakuna anayeisuburi CCM imwandikie cheki akale na familia yake; hiyo ni dhana potofu kama hoja kutumia kodi za walipa kodi za watanzania wapo watu pale mtaa wa Togo wanasubiri zaidi mil. 30 kila mwezi pesa za ruzuku na kushibisha matumbo yao, hilo nalo mkuu hulioni mpaka tukufundishe?

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz, zomba, Matola
 
Mkuu Mungi
Yaani wahakiki mali wa Chadema wameona thamani ya maisha ya marehemu aliyefariki ni mil. 6? Yaani mna tathmini uhai wa mtu kwa pesa? Ni wapi pesa zimenunua uhai? Pamoja na kwamba marehemu kipato chake kilikuwa kidogo elewa hakuna pesa itakayoziba pengo lake.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz

siku hizi kumbe uhai wa binadamu una kiwango cha fedha kiuthamani! kama ndo hivi wale majaji wa malekani watafuta kauri kwamba binadamu hana kiwango cha thamani kulinganisha na thamani ya pesa. Kwamba unaweza lipa pesa yote iliyopo duniani na bado thanani ya pesa hizo zisifike hata theluth ya uhai wa mwananamu kauli hii isitumike tena kvokana na tathmini ya mkuu CHAMA.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi
Mjadala ulikuwa unakwenda vizuri mpaka kamanda Matola alipoanza maneno ya kebehi hapo ndipo alipodili mwelekeo mzima wa mjadala; rudia kuzisoma post za nyuma utaona ni nani hasa alianza kubadili upepo; sasa mkuu unataka tuwe na uchungu na Kenya? Mbona unatutenga kwenye kujadili mabadala wa taifa letu? Pamoja na kwamba tunahitilafiana kiitikadi naamini wote wanaoshiriki kwenye mijadala ya JF wanaitakia mema Tanzania; mkuu upepo mwanana upi unaoungelea? Wote tunajituma na maisha hakuna anayeisuburi CCM imwandikie cheki akale na familia yake; hiyo ni dhana potofu kama hoja kutumia kodi za walipa kodi za watanzania wapo watu pale mtaa wa Togo wanasubiri zaidi mil. 30 kila mwezi pesa za ruzuku na kushibisha matumbo yao, hilo nalo mkuu hulioni mpaka tukufundishe?

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz, zomba, Matola

Mkuu chama,
Jamaa wa Kamachumu hajui lolote kuhusu Dar es Salaam, anakuambia Kariakoo imejaa Wakinga, wakati maghorofa ya Wakinga Kariakoo hayazidi hata 15, Wakinga Kariakoo wapo mitaa minne tu, mtaa wa raha, mtaa wa Muhonda, mtaa wa Aggrey, mtaa Narung'ombe.
 
Last edited by a moderator:
When people are hungry they become angry. Tupo hapa tunaona muv inaendaje.
 
Matola;
unafurahisha sana mshamba wewe; eti unafadhili Chadema wewe ndio unayefadhiliwa na Chadema; mshamba wewe ungekuwa na pesa ungekuwa unashinda jamii forums kupiga domo? tufanye mimi nimelosti kiana niambie unagorofa ngapi hapo Kariakoo? na kama ungekuwa na maisha mazuri jina le mutuz lisingekuwa ndani kinywa chako kila kukicha umetawaliwa na wivu na roho mbaya; unatamani mzee Malecela angekuwa babu yako; umebakia kujadili maisha ya wanaume wenzako sishangai ni athari za kufadhiliwa na dada ndiyo sababu umekuwa na akili za kike; hivi wewe kukuambia naishi US ni kutafuta ujiko? sasa ulitaka nikuambie naishi wapi Kamuchumu? Mshamba wewe utajifaragua tu ndani ya JF huna chochote cha kunishtua kwenye maisha yangu na wala hakitatokea, hivi huoni aibu kugombea kamba ya kuanikia chupi na dada yako? sasa shemeji kukutuma Machida umegeuza deal? mimi nilidhani utanikaribisha kwako Dar, mshikaji wewe kituko sana;ngoja Nikuulize hivi umekwenda shule? naona unajikanyaga sana wewe umedai natafuta ujiko kwa kujitambulisha naish US sasa mbona unarudia yale yale unajinadi Tokyo ndio base yako? Akili yako mgando sana. Povu zitakutoka mpaka utoke damu kwa wivu lakini huna utakachobadili maisha yangu wala ya mtu yoyote; hivi ulikuja mjini hapo kama shamba boi au mchunga ng`ombe; nifahamishe expertise yako iliyokuingiza mjini

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz, Mungi

Mkuu chama,
Umetisha mbaya, anajifanya anaijua kariakoo anatoa historia ya Congo eti walikuwa wanauza sangara anadhani Dar ni Kamachumu, kila kukicha anamshambulia Le mutuz eti analishwa na baba yake wakati yeye mwenyewe kapewa hifadhi na shemeji yake Segerea.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma thread hii post ya kwanza mpaka ya Mwisho kabla thread haijapotezwa muelekeo wake na nimejifunza kitu kimoja nje ya topic.

chama na wenzake wenye akili zinazofanana wana underestimate watu hapa JF, sijaona katika Argument zao na Matola mapadre wanaingiaje, hili ndilo limenifanya nichangie hii thread, naomba ufafanuzi kutoka kwa chama.

Nami natuma nakala kwa Masanilo
 
Last edited by a moderator:
Mungi,
kejeli na kebehi umeaza wewe hoja za kipumbavu zinajibiwa na majibu ya kipumbavu.

Sasa hoja zipi za kipambavu, je, ni zile za live update? ama baada ya live update ya mkutano?
Shirikisha kichwa we mtoto kula kulala! sijaona hata mara moja upo off line duh!
 
Ndugu yangu nakuambia usithubutu kuwagusa wale ndg zetu wanaovaa pekos, utakiona cha moto

Copy to Mungi,
Mjadala umeanza kualibikia hapa...endelea kulia lia.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapa kumeharibika nini wakati Mufti wenu ametuhasa tujiadhari na Wahabi wavaa vipedo?

ha haa ha...Copy to Matola, Saigon, No fear, Multiple ID`s at work...
247597_285827941521085_747593299_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom