Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA kata ya Daraja Mbili - Arusha

Mtasema sana nyie wanazi wa Magamba lakini CDM haikamatiki na huu mwendo ilonao nyie endeleeni kupiga domo kwa sana.
 
huyo aligeuza kifo cha mmewe mtaji ndani ya mwaka mmoja kashapewa mil zaidi ya 6 na bado gharama za mazishi cdm waligalamia bado haliziki..

Mkuu hii ndiyo iliyonisababishia ban. Huyu mama mume wake kutokana na nature ya kazi yake asingeweza kukusanya kiasi cha mil 6 aliyopewa huyo mama hata kwa miaka miwili. angekuwa na akili angefungua biashara.
chama ameanza matusi, sidhani kama ni yeye, nadhani kuna mtu anatumia id yake.
 
Huyu Matola pimbi sana dume zima limehifadhiwa na shemeji kwa maana nyingine na yeye kaolewa; hivi kwao hakuna miiko. Mkuu Ritz kwetu matusi makubwa haya nikiyasema nitakula ban, dume zima hata kujitegemea haliwezi linakula fadhila za shemeji, mwambie anyamaze wanaume wakiongea kwa hiyo yeye na dada wote wanaanika chupi nje pamoja, hili jamaa **** linaogopa kuyakabili maisha?
Chama
Gongo la mboto Dsm

Mkuu chama umemwamini Ritz kiasi gani hata ukaanza kumtukana Matola? wengi wetu humu tunafahamiana kwa id zetu, hakuna mtu anajua nani anafanya nini, na anaishi wapi. Mimi binafsi siwajui akina zomba, Ritz lakini naheshimu michango yao.
tu jaribu ku stick kwenye point mkuu
 
Last edited by a moderator:

mkuu chama! CDM ni kikundi cha ma opportunist wanaoendekeza .. udini na ukabila na ukanda ...! nimesikitika sana kitendo chao cha kutengeneza CD kifo cha Mwagosi na kuanza kuziuza ...

Mnapata tabu sana......poleni samaki.
 
Mkuu chama umemwamini Ritz kiasi gani hata ukaanza kumtukana Matola? wengi wetu humu tunafahamiana kwa id zetu, hakuna mtu anajua nani anafanya nini, na anaishi wapi. Mimi binafsi siwajui akina zomba, Ritz lakini naheshimu michango yao.
tu jaribu ku stick kwenye point mkuu

Hakuna tusi lolote usitake kupotosha wewe mbona unaandika pumba za kejeli humu JF na unazitetea, nikuulize hivi kuishi kwa shemeji ni tusi? Kama unaona tusi mbona Le Mutuz kaambiwa na huyo unayemtetea mkubwa mzima anaishi kwa baba yake.. Mungi, acha unafiki na uzandiki.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii ndiyo iliyonisababishia ban. Huyu mama mume wake kutokana na nature ya kazi yake asingeweza kukusanya kiasi cha mil 6 aliyopewa huyo mama hata kwa miaka miwili. angekuwa na akili angefungua biashara.
chama ameanza matusi, sidhani kama ni yeye, nadhani kuna mtu anatumia id yake.

Acha kulia lia Mkuu chama, anaeleza vitu kwa umakini mkubwa tusi gani katamka?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Cha kushangaza kuna uhuni wa Chadema wanaufanya wanauza CD Mwangosi (R.I.P) halafu wanasema wanamsomesha mtoto wa marehemu kwa gharama zao Chadema...hizo pesa za mauzo ya CD zinakwenda wapi?

Ritz kuwa mstaarabu! Zile cd hazijawa titled Mwangosi. Mauaji ya mwangosi na wengine wengi ni moja ya habari zilizorekodiwa kama sehemu ya harakatina changamoto walizokutana makamanda kwenye M4C.
Ingekuwa special kwa ajili ya mauaji ya mwangosi pumba zako zingekuwa na mashiko.
 
Mkuu Mungi huyu jamaa ameshaanzisha thread inayohusiana na hiyo anayoita video ya kifo cha mwangosi na keshajibiwa sijui kinacho mfanya kung'ang'ania nini? Au nikuishiwa na hoja?
 
Mkuu nimeamini Ritz ni janga la taifa. Bahati nzuri au kwa nia njema kabisa, watanzania wamewaelewa hawa watu.
Nchi hii tunataka tuwapate viongozi wenye dhamira njema na tanzania. Chadema pekee imeweza kuonyesha kwa vitendo kuwa Ukombozi wa Tanzania tunayoitaka upo mikononi mwa watanzania wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri mkuu chama nasubiri gwanda langu mwezi wa 12 kiuno ni 33 na Mimi Ngoja nikatengeneze kimeo changu kina miss kibao

Mkuu Precise pangolin
poa angalia mchina simu yake haina viwango hawo jamaa balaa wanatenegeneza simu hadi vyooni; gwanda umepata sijaona saizi ya buti na gwanda la juu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
chama wa Gongo la mboto, kwani ID yako umemuazima mtu anaitumia badala yako? siamini kama ni wewe unaweza ukawa unauliza maswali ya kipumbavu kama haya! ni nilini nilikutangazia kuwa mimi ni mwanachadema?
Gwalihenzi
Samahani sana kiini cha upambavu wangu kuuliza swali la kipumbavu ulitokana na upumbavu wako kuuliza swali la kipumbavu

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu nimeamini Ritz ni janga la taifa. Bahati nzuri au kwa nia njema kabisa, watanzania wamewaelewa hawa watu.
Nchi hii tunataka tuwapate viongozi wenye dhamira njema na tanzania. Chadema pekee imeweza kuonyesha kwa vitendo kuwa Ukombozi wa Tanzania tunayoitaka upo mikononi mwa watanzania wenyewe.

Mkuu Mungi
Inakuwaje Ritz awe janga la taifa? kwasababu hakubaliani na sera za Chadema au kwasababu ni mwanaccm anayesimamia itikadi za chama chake? Tanzania tulishapata uhuru siku nyingi huu ukombozi unaopiganiwa na Chadema ni upi? Hebu nielemishe kwenye hilo.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ritz kuwa mstaarabu! Zile cd hazijawa titled Mwangosi. Mauaji ya mwangosi na wengine wengi ni moja ya habari zilizorekodiwa kama sehemu ya harakatina changamoto walizokutana makamanda kwenye M4C.
Ingekuwa special kwa ajili ya mauaji ya mwangosi pumba zako zingekuwa na mashiko.

Mkuu Mungi
mnamuonea Ritz bure wenyewe mnaitangaza kama cd ya mauji ya Mwangosi (R.I.P) sasa kosa la Ritz ni kunukuu kauli zenu?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ritz kuwa mstaarabu! Zile cd hazijawa titled Mwangosi. Mauaji ya mwangosi na wengine wengi ni moja ya habari zilizorekodiwa kama sehemu ya harakatina changamoto walizokutana makamanda kwenye M4C.
Ingekuwa special kwa ajili ya mauaji ya mwangosi pumba zako zingekuwa na mashiko.

Mungi,
Mbona unataka kuleta vichekesho vya mwaka wewe kweli wa kunifundisha mie ustaraabu?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama umemwamini Ritz kiasi gani hata ukaanza kumtukana Matola? wengi wetu humu tunafahamiana kwa id zetu, hakuna mtu anajua nani anafanya nini, na anaishi wapi. Mimi binafsi siwajui akina zomba, Ritz lakini naheshimu michango yao.
tu jaribu ku stick kwenye point mkuu

Mkuu Mungi
Matola sijamtukana namueleza ukweli yeye ndiye anayeanza kutoa kauli za kifedhuli labda kama husomi nini anachoandika mimi nimetumia kauli za kiswahili sanifu nionyeshe wapi nimemtukana nimuombe radhi

Chama
Gongo la mboto DSM

CC Mungi, Ritz, Matola
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii ndiyo iliyonisababishia ban. Huyu mama mume wake kutokana na nature ya kazi yake asingeweza kukusanya kiasi cha mil 6 aliyopewa huyo mama hata kwa miaka miwili. angekuwa na akili angefungua biashara.
chama ameanza matusi, sidhani kama ni yeye, nadhani kuna mtu anatumia id yake.

Mkuu Mungi
Yaani wahakiki mali wa Chadema wameona thamani ya maisha ya marehemu aliyefariki ni mil. 6? Yaani mna tathmini uhai wa mtu kwa pesa? Ni wapi pesa zimenunua uhai? Pamoja na kwamba marehemu kipato chake kilikuwa kidogo elewa hakuna pesa itakayoziba pengo lake.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimeamini Ritz ni janga la taifa. Bahati nzuri au kwa nia njema kabisa, watanzania wamewaelewa hawa watu.
Nchi hii tunataka tuwapate viongozi wenye dhamira njema na tanzania. Chadema pekee imeweza kuonyesha kwa vitendo kuwa Ukombozi wa Tanzania tunayoitaka upo mikononi mwa watanzania wenyewe.

Unaongelea watanzania gani kama kaskazini hapo sawa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi
Yaani wahakiki mali wa Chadema wameona thamani ya maisha ya marehemu aliyefariki ni mil. 6? Yaani mna tathmini uhai wa mtu kwa pesa? Ni wapi pesa zimenunua uhai? Pamoja na kwamba marehemu kipato chake kilikuwa kidogo elewa hakuna pesa itakayoziba pengo lake.

Chama
Gongo la mboto DSM
CC Ritz
Kwenye uzi huu nakumbuka niliaga na nikamualika Mwita Maranya tuonane kwa Chota Banana kwa ajili ya lunch ya ugali wa muogo na Mix kichuri.

Safari yangu ya leo ilikuwa kwenda kutembelea wafungwa gerezani bila kujali kuwa ninaye mjuwa au lah, ili jambo huwa nalifanya kila weekend mungu akiniwezesha.

Nakupongeza sana chama kwa sababu umeshinda maisha na waliopo Tanzania wote ni wachovu kwako, na tunakuonea donge kwa mafanikio yako ambayo mimi sikujui wala wewe haunijui na hatujawahi kuonana. hongera sana Great Thinker.

Nimesikitishwa sana kuona thread hii imefikia hapa, kutoka Chadema yafunika Uzinduzi wa kampeni zake daraja mbili hadi kumshambulia Anonymous.

Ni hivi, William Malecela amekaa New York miaka 23 na si miaka 15 kama ya chama hapo DC, na mpaka tunavyozungumza William Malecela ni kula kulala kwa baba na mama pale Upanga Sea view, and this will be the same to chama, mbwembwe za kubonyeza keyboard si upiganaji wa kuingiza fedha.
 
Matola;
inaonyesha jinsi gani usivyojiamini na maisha; sikuwahi kula kulala bongo na hapa US ndio kabisa; maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua; wapo watu wana maisha mazuri bongo na kuna watu wamechoka kiana; mimi maisha yangu sina wasiwasi nayo hata kidogo namshukuru sana Mungu; kama wewe ulivyoamua kuondoka Kamuchumu na kuhamia Dar huo ulikuwa utashi wako yote ulikuwa ilikuwa ni kutafuta; siamini kama leo hii unajutia kitendo chako cha kuhamia Dar; na mimi binafsi sina cha kujutia hata leo hii ukinitaka ushauri uishi bongo au US nitakwambia kama huna mtandao wa kimaisha ondoka; nashangaa sana unamtumia le mutuz kama kigezo bahati sana namfahamu le mutuz na kazi aliyokuwa anafanya wengi wenu ni kupiga kelele ambazo hazina msingi le mutuz maisha yake yalikuwa poa sana naamini kaamua kurudi bongo kwa shinikizo la kuwa karibu na mzee nina rafiki anafanya kazi kama ya le mutuz yearly income ni kati ya 98,000- 120,000 US niambie hapo bongo wangapi wanatengeneza kiasi hicho kimshahara? Humu jamvini wengi mnapiga kelele kwa wivu na ugumu wa maisha hasira zenu mnataka kuwatupia watu walio nje; nina uhakika wewe binafsi umeshadunda ubalozini kama sio UK au US. Na bado nahoji upeo wako ulitaka le mutuz afikie kwa baba yako? ikiwa wewe unafadhaliwa na shemeji sasa kuna ubaya le mutuz asiishi kwa baba yake na ulishamsikia mzee Malecela akipiga kelele maneno yako yametawaliwa sana wivu; mkuu sibahatisha maisha bongo nitabatisha huku? Huku hakuna shemeji wala mjomba akili yako; wapo vijana wengi tu wanafanya vizuri sana kimaisha na hakuna hata mmoja anayejutia kuondoka bongo; mkuu lete habari za Chadema na CCM hizi za maisha ziweke kando; Mungu yupo nami na juhudi zangu binafsi zimenifikisha hapa nilipo; wewe kama umeona siasa ndio njia pekee ya kuokoa jahazi lako la maisha nipo pamoja na wewe ila kwa shemeji ondoka usiendelee kujitukanisha. Mkuu huna haja ya kunipongea maisha ni safari ndefu ukiona umekwama uliza ndio wenzako tunavyofanya; mkuu maisha mwangu siangalii jirani anamiliki nini naangalia uwezo wangu na mpaka sasa Alhamdulillah namshukuru Mungu. Nimefurahi sana kuona unawatemebelea wafungwa ni jambo la msingi sana unalolifanya; ila usitumie vigezo vya kisiasa ila kama kwa misingi kibinaadamu nipo pamoja na wewe

Chama
Gongo la mboto DSM

CC Ritz, Mungi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom