Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

haaaaaaaaa ameenda moja kwa moja kwenye hotuba

hawatuelezi lolote lililotokea

maana yake nini? sio dharau?
anahutubia mafanikio watu wala hawashangilii
 
Anaelezea kuwa ameshughulikia Rushwa . . .

MASLAHI YA WAFANYAKAZI
Wamepandisha Mishahara ingawa si kwa kiwango cha TUCTA.
Anadai hawawapuuzi wafanyakazi
 
heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee???!!!!??? amekatisha hotubaaaaaaaaa??!!!!???


ni mzima kweli au?

this is weird!!!
 
Huyu MKULU JK kwa kweli anaonekana amechoka

Chiligati anadai amezindua rasmi kampeni ya Nchi Nzima
 
Chiligati anataka TOT waendelee wakati Viongozi Wakuu wanaondoka
 
Back
Top Bottom