Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Wakulu;

Naona kupitia Luninga ITV wanarusha Uzinduzi wa Kampeni za CCM Live
 
Mh. John Chiligati alianza kwa kutoa ratiba. Kwa kweli umati ni Mkubwa .
 
Banana Zoro / B band amemaliza kutumbuiza. Amemodify kidogo wimbo wake wa Zomba kuinadi CCM
 
Viongozi wote wakuu wa CCM wapo. Mh. Kikwete; Shein; Karume, Bilal nk.
 
Wasanii ni wengi tu, na rangi za chama zimetawala...kwa mtizamo wangu,hata Kikwete hajui aongee nini, nchi ipo katika njia panda, tungojee hotuba...
 
Namwona Mzee Ruksa; Mzee wa Uwazi na Ukweli, Mama Maria Nyerere; Mawaziri wakuu wastaafu wote ndani ya nyumba.
 
Sasa hivi Chege & TMK wanatumbuiza. Mgombea JK anawafurahia saaana!!
 
Umati ni mkubwa sana. Kijani na Njano kila mahali mpaka wasanii na wao wamevaa. Vuvuzela kwa fujo.
 
Sasa hivi naona TBC pia wanarusha Live! Mh. Chiligati anawakaribisha vijana kutoka Chuo Kikuu.

Watafuatiwa na Albino . . .
 
Hawa vijana wa CCM wa vyuo vikuu wako kibao karibu 100. Wanaimba wimbo kama waliouimba wakati wa Mkutano Mkuu . . . CCM Kiboko yao.
 
Hawa vijana wanapunga kofia na mikono huku wakiimba apewe kura za ndiyo JK. wanapuliza Vuvuzela kwa fujo. Ila hailekei kama ni Wasanii au wako katika fani.
 
Naona pia kuna mabango yanayohamasisha watu kukichangia Chama kupitia SMS
 
Umati ni mkubwa sana. Kijani na Njano kila mahali mpaka wasanii na wao wamevaa. Vuvuzela kwa fujo.

Ndiyo ni mkubwa sana. Lakini kazi kubwa imefanyika kuwapeleka pale. Majira ya saa 4 asubuhi nilikuwa natoka Magomeni kwenda Chang'ombe, nilikutana na zaidi ya mabasi 8 hivi yakiwa yamejaza wafuasi wa CCM wakielekea kule. Sasa hapo sijui barabara zingine kuu kama vile Morogoro Rd etc.
 
Kijana Magida . . . Albino anapanda jukwaani kabla Marlow hajapanda . . . .
 
Ndiyo ni mkubwa sana. Lakini kazi kubwa imefanyika kuwapeleka pale. Majira ya saa 4 asubuhi nilikuwa natoka Magomeni kwenda Chang'ombe, nilikutana na zaidi ya mabasi 8 hivi yakiwa yamejaza wafuasi wa CCM wakielekea kule. Sasa hapo sijui barabara zingine kuu kama vile Morogoro Rd etc.

Hii yote inaonyesha kuwa CCM inaanza kupoteza umaarufu -- kwani bila mabasi (sijui wanakodi?) wanaweza kukosa watu wa kuhudhuria. By the way, I ask-- hivi Chadema nao wana mtindo wa kusomba watu kwa mabasi kwenye mikutano yao, au hujiendea wenyewe tu? Najua CUF pia hutumia Fuso usomba wahudhuriaji.
 
amejiaanda kwa mipasho mizito mizito,
1. atazungumzia UDOM
2. atazungumzia ushindi wa kimbunga wa mwaka 2005.
3.atakihusisha chama na mambo yakufuata misingi ya baba wa Taifa
4.Mwishini ataomba kura , atawata wanaccm wasilale hadi oktoba, atawaomba waungane, atawatoa hofu kina bashe kuwa chama kinaelewa matatizo yao.
 
Kwa njia za kidemokrasia sio rahisi kutukomboa/kutukwamua...Not in a foreseeable future!!Watanzania wameridhishwa na maisha wanayoishi na huduma wanazopatiwa na serikali yao.
 
ni kama fiesta vile...Karume ukiangalia uso wake ni kama hayupo kwenye shughuli...JK anachekacheka tuuuu
 
Back
Top Bottom