Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

nasikia tarehe kama hii 2005 jamaa alikwenda chini hapa hapa Jangwani..wot a shock inaonekana wazee wamezindika sehemu hii
 
Atuambie siri ya ugonjwa wake, kama Watanzania tunastahili kujua.....
 
Hivi CCM wanaweza kumteua mgombea mwengine kama JK atashindwa kuendelea na kampeni?
 
kamanda si mashindano . . . . nadhani wanahamasishana . . .
Nilifikiri unatuletea habari za mashindano ya mziki maana habari zako nyingi zinahusu kina mamelody TOT kopa Dokii kumbe ni mkutano wa kampeni.
 
Jamani hiyo ni ku beep tu. Slaa yuko safarini kwenda Magogoni! Vile vibibi vizee anatembea akiambana navyo havipo?
 
Wakulu, ni kama ratiba imesimama hivi. Naona Makamba, Msekwa na Mwinyi wanateta.

SASA JK Anarudi
 
Back
Top Bottom