Elections 2010 Uzinduzi wa Kampeni Za CCM - from ITV

Wamemodify wimbo wa Piii Pii wakiiimba CCM imeanza kupiga honi huku Vuvuzila zikipulizwa kama honi . . .
 
kuna bibi anapita hadi jukwaa kuu,sijui ndo mchawi wao!!?? hivi hajui hata uzee wake umesababishwa na CCM?
 
Ndiyo ni mkubwa sana. Lakini kazi kubwa imefanyika kuwapeleka pale. Majira ya saa 4 asubuhi nilikuwa natoka Magomeni kwenda Chang'ombe, nilikutana na zaidi ya mabasi 8 hivi yakiwa yamejaza wafuasi wa CCM wakielekea kule. Sasa hapo sijui barabara zingine kuu kama vile Morogoro Rd etc.


True Mkuu.

Maeneo ya Majumba 6 asubuhi niliwaona wadau wa CCM wamejikusanya. Bila shaka walikuwa wanasubiri mabasi
 
kuna bibi anapita hadi jukwaa kuu,sijui ndo mchawi wao!!?? hivi hajui hata uzee wake umesababishwa na CCM?

Haaa haaaa . . . . imetangazwa kuwa ameruhusiwa na watu wa usalama na amesalimiana na JK meza kuu . . .
 
Du Makamba kasimama, anasema wameshashinda viti 13 vya ubunge na udiwani kata 457. majimbo ya ubunge ni:

Bumbuli
Kongwa
Ludewa
Mpwapwa
Njombe Kusini
Isimani
Ulanga Mashariki
Simanjiro
Muleba Kusini
Songwe
Rungwe
Jimbo la Pinda
Jimbo la Membe
 
Gharama za kampeni kubwa hivyo zinatoka wapi?!


Mimi na wewe hatujui. Mwanahalisi kuna toleo zilidai Billions za serikali zimetumika kuandaa mabango
lakini CCM wanadai wameshapata zaidi ya Billion 40 za kampeni mpaka sasa
 
Mh. Karume (Easy Man) kasimama . . .

kama kawaida anasema CCM hoyeeee . . . Mapinduzii . . . . huku akinyoosha mkno kivivu vivu
 
Karume anadai aliyoyaona leo hayajapata kutokea. Na ameupongeza uongozi wa CCM Mkoa. Anadai kisha mkabidhi zana za kazi Mh. Shein
 
makamba kama kawa amemwaga verse za kwenye BIBLIA za kumtakia heri na kumuongezea ujasiri JK......Karume analonga hapa na sauti yake ya kichovu
 
Umati ulipoulizwa kama wamejiandikisha kupiga kura wamejibu Ndiyo huku wakiahidi kukichagua CCM na JK
 
nilikuwa namsikiliza makamba anahubiri dini kisha karume anadhihirisha kuwa huwa wanaiba kura namnukuu 'tukishakabidhi ilani tunachukua kura zetu na kuwekaa 'watu wameitikia waaaa
 
Very Interesting . . . . Sasa hivi TV za ITV; TBC na Star TV zote ziko Live!!
 
Sasa hivi Bilal kasimama . . .

Teacher wangu huyu enzi hizo akiwa UDSM . . . . wala sikujua kuwa atakuja kuwa mwanasiasa. alikuwa mpooole saaana.
 
Mbona naskia ka watoto ndo wengi. Sauti za kitoto ndo zinaitikia kwa zaidi. Hawa watoto wamejiandikisha kupiga kura?
 
nilikuwa namsikiliza makamba anahubiri dini kisha karume anadhihirisha kuwa huwa wanaiba kura namnukuu 'tukishakabidhi ilani tunachukua kura zetu na kuwekaa 'watu wameitikia waaaa

Wataiba sana mwaka huu mana Chadema inaonesha kuleta upinzani wa kweli Hata JK ameliona hilo na amesema hivi ni vita ngoja atakapopanda utasikia sera zake
 
Back
Top Bottom