Machozi, Jasho na Damu Album vs A.K.A MIMI Album ipi ilikuwa Album kali zaidi ya HIP HOP?

central midfielder

Senior Member
Apr 14, 2023
132
187
NDUGU ZANGU WA HIP HOP NJOONI TUZUNGUMZE KIDOGO.

Machozi jasho na Damu Album vs A.K.A MIMI Album.

Ipi ilikuwa Album kali zaidi ya HIP HOP?

Sio Profesa J vs Ngwair. Ni Album zao ipi kali zaidi?

Kama hukuwahi kusikiliza hizi Album basi...ili kuokoa muda we soma uzi tu.

Forgive me.
 
Album zote nimewapi kupata kuzisikiliza ila kwa hapo ulipotaja hizo album unakosea sana kwa sababu aina ya hiphop kati ya Ngwair na Proffesa ziko tofauti hivyo kufanya kila album iwe unique na tofauti na nyingine....

Ila ukizungumzia album bora zaidi kwa Proffesa Jay nitakuambia ni JOSEPH...
Na ukizungumzia Album nzuri kwa Ngwair ni AKA MIMI
 
🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
NDUGU ZANGU WA HIP HOP NJOONI TUZUNGUMZE KIDOGO.

Machozi jasho na Damu Album vs A.K.A MIMI Album.

Ipi ilikuwa Album kali zaidi ya HIP HOP?

Sio Profesa J vs Ngwair. Ni Album zao ipi kali zaidi?

Kama hukuwahi kusikiliza hizi Album basi...ili kuokoa muda we soma uzi tu.

Forgive me.
Kwangu mimi, machizi jasho na damu ndio album kali ya HipHop ya wakati wote.
Hii ilikua album ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya miaka ile Professor Jay. Albamu ile ilitoka mwaka 2001, mwaka mmoja tangu kutolewa albamu aliyofanya na kundi zima la Hard blasters cree "funga kazi" iliyotoka mwaka 2000.

Jay alienda mbali zaidi katika albamu hii kwa kuenzi muziki wa  HipHop Tanzania kwa kuelezea mengi tangu muziki huu unaanza katika miaka ya 1980 na 1990 mwanzoni.
Jay aliendelea kuelezea jinsi walivyopata tabu katika kuanzishwa kwa muziki huu ndani ya Tanganyika yenye Ujamaa.

Halkadhalika alienzi kazi ya mwanzilishi halisi wa rap ya Kiswahili nchini Tanzania bwana Edward Mtui maarufu kama Fresh XE kwa kuchukua kiitikio chake cha "Piga Makofi" ambacho kilimpelekea ashinde tuzo ya Yo Rap Bonanza kwenye miaka ya 1980, lakini hakutoa nyimbo. Jay anatungia wimbo kiitikio hicho na ndani yake anataja wale wote walioifikisha hip hop ya Tanzania hapa kwa kuwataja.
 
Katika wimbo wa Piga Makofi Professor Jay alimtaja Cool Moe Cee, Fresh XE, Ibony Moalim ambae yeye na Kim dio waliokuwa waratibu wakuu wa Yo Rap Bonanza, Rankim Ramadhani, Big Rawy, JD, Uncle Jay, Masoud Masoud, Master T, Saleh Jabri na wengine wengi.
Kwa miaka ile, mtindo huu wa kuthamini muziki ulipotoka katika albamu hii ulikuwa kitu cha kawaida sana. Na wakati utunzi na namna ya kuenzi hali halisi ya hip hop ya Tanzania katika nyimbo ulikuwa wa kipekee zaidi.
 
Back
Top Bottom