Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

Status
Not open for further replies.
JF moderation inazidi kuwa ngumu, JF inapata hits zaidi ya milioni 45 kwa mwezi na kila siku posts zaidi ya 1,200 zinatumwa. Tumefikiria kuongeza moderator mmoja na tutaendesha semina kwa moderators wote kuweza kukabiliana na hali halisi.
Mkuu invisible hii kiboko sijawahi kuona Forum yoyote ya Kiswahili tangu niingie kwenye Mtandao wa internet inayopata Hits 45 Millioni itabidi muwe na Moderator wa kutosha Mkuu invisible poleni sana kwa kazi nzito
 
Wandugu Poleni na kazi, hongereni.............and keep up the good work..............
 
Wanachama mtaandaa party maeneo mbalimbali ya TZ na abroad?

Wazo zuri hilo mkuu, labda wanachama sehemu mbali mbali isingekuwa vibaya tukawa tunakutana! Lakn hili lilishapingwa nyuma kwa kuwa members wengine wasingependa wajulikane majina na nyadhifa zao.. Sijui tufanye nini mkuu..
 
mnakutana kwa majina yenu halisi siyo majina ya JF.. which will be fun kwa sababu huwezi kumsema mtu vibaya hapo (labda sisi wengine ambao tunajulikana tulipo) maana unaweza ukawa ndiye uliyemchunuku.
 
Natanguliza shukurani mkuu. La redio na gazeti la kila siku ni hatua nzuri kwani JF inawasaidia wengi wafunguke kutoka kwenye tawala kwenda kuongozwa.

Mtandao wa jamaa fulani unaleta hitilafu huku otherwise end of month lazima tuonane mkuu. Mnafanya kazi kubwa.
 
Wazo zuri hilo mkuu, labda wanachama sehemu mbali mbali isingekuwa vibaya tukawa tunakutana! Lakn hili lilishapingwa nyuma kwa kuwa members wengine wasingependa wajulikane majina na nyadhifa zao.. Sijui tufanye nini mkuu..
Tuje tumevaa masks, halafu una label kuuubwa, i.e TzPride
 
Thanks Invisible... nadhani tungeongeza benefits za premium members, na kuweka ukomo wa mtu kuwa premium member; kila membership ina ukomo unaoweza kuwa renewed kwa terms fulani
 
Wazo zuri hilo mkuu, labda wanachama sehemu mbali mbali isingekuwa vibaya tukawa tunakutana! Lakn hili lilishapingwa nyuma kwa kuwa members wengine wasingependa wajulikane majina na nyadhifa zao.. Sijui tufanye nini mkuu..
Hebu fikiria unakutana na nanihii. Halafu unakutana naye kwenye thread/post yake humu unampinga. Na yeye ameshakufahamu angalau kwa sura tu. Patachimbika vibaya humu. Hongera Invisible na timu yako hasa kwa wazo lenu la kwenda nje ya mtandao huu yaani kuwa na Tv/gazeti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom