Kuna huu utamaduni uliojengeka wa wahusika kutoshughulika na ukarabati wowote hasa wa barabara hadi viongozi wa kitaifa wanapofanya ziara.
Nimekuwa katika maeneo tofauti siku za karibuni ambako palikuwa na ziara za wakuu tofauti hawa.
Hali ni hivyo hivyo hata kwenye ziara za Waziri Mkuu, Makamu wa Rais nk nk.
Hivi utamaduni huu wa kinafiki hadi lini? Hivi hawa viongozi wetu hawayaoni au kweli wanadanganyika kuwa hali za barabara ndiyo huwa hazinaga mashimo siku zote?