Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 6,192
- 46,786
KabisaHii staili ukitaka usipunjwe chipsi, agiza hivi yani yai pembeni.
Nitunuku keki ya mwaka mpya jamani
Karibu tule fruits cake😁Nitunuku keki ya mwaka mpya jamani
Watu mna mbinu.. sasa ukikuta kavu ndo ziko jikoni bado kuiva?Hii staili ukitaka usipunjwe chipsi, agiza hivi yani yai pembeni.
na tuzo ya mapichapicha kwa mwaka huu 2023 inakwenda kwa...........
Unamalizia Pepsi/coca cola baridi
Hapo umeweza,jifunze kula na uma na kisu nna ofa yako hapa😘😋