Uzi wa vyakula tu

IMG_1200.jpg
 
Mkuu Mshana tukumbushane hapa,
"Huu uzi wa vyakula tu"
Ww umeuanzisha.
Tokea mwanzo ukaweka panya kwenye mkate nikakosoa,
Kuna wengine wakaweka mende na wadudu wa ajabu nikakosoa,
Sasa tena umeanza kuweka wanyama wa ajabu miguu ya kenge ,mijusi, mnakula kwenu huko?
Panyabuku?Mamba,Nyau pori,
Nyoka
Uliona wapi mtanzania anakula hao wadudu?
Mbona vyakula vingi tu vipo vya kawaida tu.
Uzi umeanzisha mwenyewe unaharibu mwenyewe,
Hapa watu tunakuja na njaa zetu kuja kula,
Hayo matakataka huwa unaweka yaani unatukata stimu kabisa.
Ujinga gani huu unafanya?
Weka hata makande pls,
Sasa njaa yangu yote imekata kwaajili ya wewe umeweka picha mchuzi limguu la mnyama gani sijui,
Inatia kichefuchefu.
Hapa Chakula nashindwa kula tena,upuuzi gani huu.
Ananikeraga huyu mtu basi tu akiambiwa hasikiagi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom