Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,166
- 188,672
Hahaa lijenge tu shavu na kitambi..
Hahaa lijenge tu shavu na kitambi..
kwani huku hamna malimao🤣Hahaa lijenge tu shavu na kitambi..
unamaintain upisi kali sio...nikila na uma hata uwa sifaidi kufyoza mpk mwisho 😂 mshamba_hachekwi View attachment 2847221
Malimao yameadimika…kwani huku hamna malimao🤣
😂 kujikutaaa sasaunamaintain upisi kali sio...
kilichobaki ununue kamba tu uanze kuruka🤣Malimao yameadimika…
Mwenzako nishaacha kuvaa crop top
Mambo si mambo unaambiwa.. nikitokea kinaanza kitambi 🤣🤣
😂😂 nguvu ninazo sasa? Uvivu umenijaakilichobaki ununue kamba tu uanze kuruka🤣
weekend unatembea mpaka pale philips na kurudi, au mpaka club d🤣😂😂 nguvu ninazo sasa? Uvivu umenijaa
😂😂 nataka tu tumbo ndo liende zake maana skuliitaweekend unatembea mpaka pale philips na kurudi, au mpaka club d🤣
pole sana
Hapo mimi nakula kuku na hizo mbogamboga 😒
hupendi wali? aiseeHapo mimi nakula kuku na hizo mbogamboga 😒
Kooni tu haipiti! Kula wali labda niwe sina hela.hupendi wali? aisee
Ukitoa ndizi unabaki na a perfect meal for gym people
Hii lazima ni jaribu!