Ulisaidia hapa, nna karibia mwaka niko na Portia M products.Depends na skin type yako
Original for dry skin
Marula all skin types
picha hazifunguki🥹
Upo kwa app au browser???picha hazifunguki🥹
natumia App,nipe maujanja ntakufa njaa,unajua picha zako ndo zinanipa mzuka wa kulaUpo kwa app au browser???
Hamia huku kwenye browser basi nisije nikakupoteza kwa njaa!!🥴natumia App,nipe maujanja ntakufa njaa,unajua picha zako ndo zinanipa mzuka wa kula