Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,405
nikumbushe hii "Tola alia gizani" ilikuwaga nini??Tola alia gizaniView attachment 2027329
Primary sijui la tano ile.nikumbushe hii "Tola alia gizani" ilikuwaga nini??
Yesuu. Nimetamani sanaNapenda sana vyakula vya kinyumbani zaidi kama hivi.
Nipe locationYa muda huu wahi na kinywaji chako mkononiView attachment 2027443
Vzr sana.Mkono wangu...View attachment 2027461
Nifundishe kuunga maharage.
Njoo pm mdogo wanguNifundishe kuunga maharage.
NakujaNjoo pm mdogo wangu
Mbona tunatesana namna hii
Kuna wanawake mafundi bhana.