Viazi karaiHizi Kachori au?
Huwa napenda cabbage kama hiyo na wali/pilau ama Supu. #Imenivutia
Namimi nasubiria majibu mkuuFood lovers mpo? Naomba kufahamishwa viungo vya kuchomea kuku sekela kama pale lumumba grill, Rissa BBQ na baadhi ya wahindi wanaopika chips pale maeneo ya posta.
Natanguliza shukran
Mi pia....Huwa napenda cabbage kama hiyo na wali/pilau ama Supu. #Imenivutia
(B)
Angel NylonFood lovers mpo? Naomba kufahamishwa viungo vya kuchomea kuku sekela kama pale lumumba grill, Rissa BBQ na baadhi ya wahindi wanaopika chips pale maeneo ya posta.
Natanguliza shukran
Angel NylonNamimi nasubiria majibu mkuu