ha ha ha haya mapicha picha ya kudanganyana hayana tija,kwa chakula cha kiroho huku kunafaa ila kwa chakula cha kuupa mwili nguvu na virutubisho,huku hakufai😂😂😂 huku kutakufaa tarehe 25 dec Equation x mzee kama ukikosa mualiko.
Huyo bpmbadia anafaa kuliwa hivyo hivyo chukuchuku
Jr