Uzi wa vyakula tu

Kitu kama hiyo nimeiona Iringa, wahehe mahindi kabla ya kusagwa, huyavundisha kwenye maji baada ya hapo ndio wanaanika na kusagwa unga, huwo ugali wake ukipikwa unanukia uvundo.
 
Umetuchamba

Ukitoa ugali wa hovyo,kingine kipi tunakula Cha hovyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…