Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,534
- 81,270
Hio juu husika kuipata ni shughuli,,,,,, okay sawapitia pitia huko juu utaona
mwee uzi wa vyakula tumeugeuza wa story
Hio juu husika kuipata ni shughuli,,,,,, okay sawa
No kawaida tu ntajua
Am waiting darlingTwin ngoja nipungue nitakutumia before and after
Haya sasa pambana nayoHio juu husika kuipata ni shughuli,,,,,, okay sawa
huwezi sababu mwembambaungekua chinene ungeweza.
mwaka 2017 nilikua na kilo zangu 68 mwenyewe nikawa nashangaa mtu anafanya vipi diet ngumu hivyo now nina 89 mbona naweza na ninaona nyepesi
Haya sasa pambana nayoView attachment 1856079
Wewe unae ngapi?Hebu nitumie kapicha nione hii 89 kg twin
Nashukuru Sana umenirahisishia maishaHaya sasa pambana nayoView attachment 1856079
Hii diet mbona kama inasababisha vidonda vya tumboHaya sasa pambana nayoView attachment 1856079
Kuwa serious basi90 mkuu
Mimi modo bana natamani niongeze kilo hapa niko na futi 6 inch 2 na kgs 70 hapa.Tuanze mazoezi best
Bora hata hii inashawishi kufanyia diet