Yes ni ndizi mshale, wewe unapendelea zipi mshale, bukoba, kimalindihizo ndizi mshale?
Nilikuwa ninaipenda sana ile avatar yako ya mwanzo ya yule dada "black beauty" wa South Africahizo ndizi mshale?
Yes ni ndizi mshale, wewe unapendelea zipi mshale, bukoba, kimalindi
Nilikuwa ninaipenda sana ile avatar yako ya mwanzo ya yule dada "black beauty" wa South Africa
Kwa mtori bukoba ni nzuri zaidi, umeshawahi kunywa mtori wewenapendelea mshale hasa zipikwe na Utumbo




Ni avatar nzuri sana ya black queenwewe ni mtu wa tatu unaniambia haya nimeirudisha, anaitwa Nandi Madida au Nandi Mngoma.
Wewe jamaa unakula balaa utakuwa turboHaina noma twende hivi.View attachment 1700618

Sio nakula tu nakula chakula kizuriWewe jamaa unakula balaa utakuwa turbo![]()
Kweli nimeona.Sio nakula tu nakula chakula kizuri
Safi
Karibu sanaKweli nimeona.
Nikaribishe basi nije kula.
Kuna tatizo katika ilo mkuu.Hata mimi nimemsema![]()