curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Kama macho yako yanakwambia kuwa kuna paja la mtoto hapa tujuane
Kama macho yako yanakwambia kuwa kuna paja la mtoto hapa tujuane
Mkono huo bana 😄Kama macho yako yanakwambia kuwa kuna paja la mtoto hapa tujuane




Asiehhhhhh umenifanya nikumbuke pilau mbuzi mix ndiziAsiehhhhhh umenifanya nikumbuke pilau mbuzi mix ndizi
Afya tupu hiiMwanaume wa dArView attachment 1699477
Ee kakaDadeki?
Home made hii mkuu?
Kudadeki!Mwanaume wa dArView attachment 1699477
Imebidi leo ndiyo nile sasa baada ya kupata hamuha ha ha ufanye weekend upike

Emu muite mhudumu hapo akupe hata maji, nimefika hapa mataa nakuja.
Vitu laini, mti wenye matunda mara zote ndo hupigwa mawe!....chips yai tamu jamani asikwambie mtu. Kuzipaka matope kuwa zanaua nguvu za kiume ni kuzionea gera kwamba zinaongoza kwa kuliwa na watu wengi tanzania nzima!!...Mwanaume wa dArView attachment 1699477
Mkuu unakuja kufanya nini hebu nenda kale nyumbani kwa mkeo urudi kazini kwani na wewe ni senior bachela kama mimiEmu muite mhudumu hapo akupe hata maji, nimefika hapa mataa nakuja.


