Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Aiseeehhh umeongeza njaa hapa ni hatari aisehh hii mambo
Kuna pilau mbuzi banah nalo ni tatizo lingine
Wewe ni mzenji, wazenji na mapishi yenu ni hatari, mnapikaga vibarazani nyei hamtaki mambo ya jikoni
Unajua kunitesa!
Kuna sehemu nimepost bia halafu ukalike!
Nililike kwa sababu ya picha za juu..Kuna sehemu nimepost bia halafu ukalike!
WeeeeeHa hahahahaha. si useme tu sahiib. Mkuyat
Hapa mlikua ntu ngapi
Eti ntaa na ntaa au ntu na ntuKhaa, hamna kitu kama icho ukiona mtu anapika barazani basi ujue chakula cha biashara hicho. Sina hakika sana lkn siwezi kusemea mitaa yote pengine inategemea ntaa na ntaa. Mie nimekulia gate kali
8Hapa mlikua ntu ngapi
Baba mjengo leo sijapika, nimekula matunda tuThe Happiness umepika nini mama watoto