Hii menu inauzwa wapi?
Mitaani tu mkuu..usichoke kupitapitaHii menu inauzwa wapi?
Maana ni hatari na nusu
Hii ya kubuni sjawai hii.ntajaribuView attachment 1585299
Omelette na brocolli karibuni
halafu kuna sizzling pumbu za mbuzi pale balaaa ππΎπUmenikumbusha mchemsho wa Sokota pale! Dah!!
We babu wewehalafu kuna sizzling pumbu za mbuzi pale balaaa ππΎπ
Ninyi watu ni mafala sana!
Hapa bado kachumbari au tomato ketchup.