Bwana Fulani
JF-Expert Member
- Mar 25, 2019
- 656
- 3,386
Is that just a snack au full meal? 😧
Is that just a snack au full meal? 😧
Yani namshukuru Mungu kwangu kupungua ni kitu rahisi ,nlitoka maternity leave nikiwa na kg 73 (sijawai fikisha hizi kg)Ilikua Oct.mwaka jana sa hivi nina 59,nlivoacha tu mamitory na supu kila siku nikapungua.Yani mi nikila Sana nanenepa nikila nikijinyima napungua.Nawaza Tu nikila hivyo unavyokula eti korosho na maji ntakua miss.Umejitahidi Mkuu kupunguza uzito kazi sana
It's a whole meal 🙂🙂Is that just a snack au full meal? 😧
Huu uzi unafaa
Hashim Rungwe
CHAUMA
Mzew wa Ubeche
mkuu,nimebadili maamuzi,kwanzia kesho nabadili professional naanza kuwa mchoro tatoo,avatar yako imenibariki sana



Dah karibu kuwa na moyo. Juzi nimemchora dada mmoja tunaye humu ameniacha na wenge.mkuu,nimebadili maamuzi,kwanzia kesho nabadili professional naanza kuwa mchoro tatoo,avatar yako imenibariki sana
Dah karibu kuwa na moyo. Juzi nimemchora dada mmoja tunaye humu ameniacha na wenge.
Kazi ngumu hii
hivi kumbe hizo mishe unafanya, mkuu mimi serious kabisa nitajifunza hiyo kazi,na kuna nyingine wanaita waxing ntakua nafanya just for fun bure kabisa.
huyo Dada ungemlilia hata machozi ya damu mkuuLeo ni wali bila kitimoto?
Nataka hiyo bumunda
Hizo ni green beans au?
Hiki ni chakula gani mkuu?
Karibu sana BehaviouristNataka hiyo bumunda