@Simara Unataka ukonde kiasi gani rafiki
vipi unafanya mazoezi pia ?Nina kilo 80 nataka nifike 68
Unaongeza vitu muhimu sana mwilini ukila korosho, kula za kutosha nyingine nitumie na mimiNilikunywa na maji ya moto yenye limao na tangawizi.
Korosho tamu sana hasa ziwe na chumvi, hapa kila saa nazipiga jicho![]()


vipi unafanya mazoezi pia ?
Dah mimi nilikuwa na 110 sasa natafuta 90
Unaongeza vitu muhimu sana mwilini ukila korosho, kula za kutosha nyingine nitumie na mimi![]()


nimekuelewaNaruka kamba tu
Hii ni supu, mchemshoView attachment 1549494
Breakfast na Lunch
2 in 1View attachment 1549494
Breakfast na Lunch
Hii ni supu, mchemsho
2 in 1
NkamuView attachment 1548480
Breakfast
Afadhali nimepata mwalimu wa Kinyakyusa. Naomba nije PM tafadhaliNkamu
Loli utwindu tunandi