Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,825
- 233,258
NimefungaNitakuambia PM..
Nimefunga
OkeeSiku ukifungua unikumbushe
Leo..Okee
Siku ukitaka kuja utaniambia
Baada ya dk 10 jaribu kunipm.Leo..
Pole sana, juzikati nami nilishake kidogo kwenda kucheki kweli ninayo. Nimeanza dozi hapaUji wa mgonjwaView attachment 1462259
Pole sana, juzikati nami nilishake kidogo kwenda kucheki kweli ninayo. Nimeanza dozi hapa
ᵃʳᵉᵉᵐ
Ahsante sana, nilianza dozi tangu juzi ila zilinitesa sana si unajua tena Cipro. Nimebadilii dozi, kwasasa natumia Floxsafe.Pole Sana aisee
Mimi jioni hii tumbo limeniuma hatari
Kwanini mnafunga private messageNimefunga
Hahaha!Mate ya ugwadu yamenijaa ghafla
Niliamua tu kufungaKwanini mnafunga private message
Doh pole.Ahsante sana, nilianza dozi tangu juzi ila zilinitesa sana si unajua tena Cipro. Nimebadilii dozi, kwasasa natumia Floxsafe.
ᵃʳᵉᵉᵐ
Tunywe dawa tutapata shifaa, dawa na misosiDoh pole.
Mimi dawa zile walizonipa naziogopa yaani..ila zinasaidia Sana..dadangu ametumia vizuri na zimemponya
Mimi jinsi ninavyokula kidogo na kushiba mapema mbona hizi dawa zitaninyoosha SanaTunywe dawa tutapata shifaa, dawa na misosi
ᵃʳᵉᵉᵐ
Then maji inaonekana unakunywa glass moja tu kwa siku.Mimi jinsi ninavyokula kidogo na kushiba mapema mbona hizi dawa zitaninyoosha Sana
UmenikumbushaThen maji inaonekana unakunywa glass moja tu kwa siku.
ᵃʳᵉᵉᵐ
Unafanya hatari sana, kunywa maji.Umenikumbusha
Ngoja nikanywe.
Naweza pitisha siku hata hiyo glass moja sijakunywa
NitajitahidiUnafanya hatari sana, kunywa maji.
ᵃʳᵉᵉᵐ
Hmm! Wanawake nyie sawaNiliamua tu kufunga
Mtu akinihitaji ananiambia namfungulia.