usiponenepa tena sijui kwa kweli
KaribuuMama mtumishi
Jr
Ndiyounapenda mboga ya mayai ee
Nilivyo kimbaombao hata huwezi aminiusiponenepa tena sijui kwa kweli
SupuAsubuhi hii nimeanza hiviView attachment 1470004
Kwenye uzi wa picha kila nikienda nakuta umefuta..sijui lini nitakuwahiNilivyo kimbaombao hata huwezi amini
Hata sijui lini maana Sina mpango wa kuweka tenaKwenye uzi wa picha kila nikienda nakuta umefuta..sijui lini nitakuwahi
HahahaNina bahati mbaya kila wakati niko mbali
Jr
Kisafisha njia tu dona linawasili soonUtashiba?
Jr
Aisee hivi vitairi ni vinini vinatamanisha naeza futa sahani yote
Bamia+nyanyachungu
umehesabuje lakini?Kasoro mboga mbili tu zitimie saba
Jr