Binafsi naelewa ni magumu gani unayopitia kutokana na ulcers, kwani nilishawahi kusumbuliwa na peptic ulcers wayback 2004/5 yaani maumivu niliyokuwa nayapata ni wakubwa mno ndio maana nikisikia mwengine anasumbuliwa na ulcers I got the feelings.Akhsante dear
Najihisi kupona jinsi mnavyonijali
Akhsante Sana mkuu..Binafsi naelewa ni magumu gani unayopitia kutokana na ulcers, kwani nilishawahi kusumbuliwa na peptic ulcers wayback 2004/5 yaani maumivu niliyokuwa nayapata ni wakubwa mno ndio maana nikisikia mwengine abasumbuliwa na ulcers I got the feelings.
Usijali utapona, fuata ushauri wa wataalam wa afya, zingatia miiko ya vyakula na pia Muombe Mungu kwa maana yupo na anasikia Maombi ya waja wake.Akhsante Sana mkuu..
Naamini nitapona japo kuna muda nahisi Kama nakufa hivi,tumbo linauma vibaya mno.
Pole pia na akhsante kwa kunitia moyo...I really appreciate this
AmenUsijali utapona, fuata ushauri wa wataalam wa afya, zingatia miiko ya vyakula na pia Muombe Mungu kwa maana yupo na anasikia Maombi ya waja wake.
α΅Κ³α΅α΅α΅
Pole sana mami hayo makitu yanasumbua sana.Vidonda vya tumbo vinataka kuniua..
Fanya manuva unipe dawa ya mtishamba,hii ya hospital inanipelekesha Sana.
Ningekula chote.
Ningekula chote.
Kitamu hasa.
Ningetafuta na habanero kidogo iniwashe.
Umenitamanisha choroko.
Umepika mwenyewe au unapikiwa?
Hii ni mboga gani? Mbona kama mayai?
Karibu sana π€π€Nakuja kula
Nakula hivyohivyo
Nifanyeje sasa
[
Umenitamanisha choroko.
Napenda choroko ila siwezi kupika sijawahi kupika.
Napenda nipikiwe mie nile tu.
Goes to mlenda ule wa bamia na majani ya maboga napenda nipikiwe nile ila siwezi ba sijawahi kuupika.
Ukinipikia nitaukomba wote.
Huwa natumia maziwa freshPole.
Zingatia dawa alafu epuka ( nyama na vyakula vyenye mafuta mengi, citrus fruits & juices, a nyanya, chai na kahawa (kwasababu ya caffeine) ,pombe, spicy food, chocolate na vyakula vingine vyenye acid kwa wingi you'll be fine.
Yeah na maziwa kama ni mnywaji acha kabisa mpaka upone. Ukinywa upata relief kwa muda ila baada ya muda yatachokoza zaidi.