Uzi wa vyakula tu

Akhsante dear
Najihisi kupona jinsi mnavyonijali
Binafsi naelewa ni magumu gani unayopitia kutokana na ulcers, kwani nilishawahi kusumbuliwa na peptic ulcers wayback 2004/5 yaani maumivu niliyokuwa nayapata ni wakubwa mno ndio maana nikisikia mwengine anasumbuliwa na ulcers I got the feelings.
 
Binafsi naelewa ni magumu gani unayopitia kutokana na ulcers, kwani nilishawahi kusumbuliwa na peptic ulcers wayback 2004/5 yaani maumivu niliyokuwa nayapata ni wakubwa mno ndio maana nikisikia mwengine abasumbuliwa na ulcers I got the feelings.
Akhsante Sana mkuu..
Naamini nitapona japo kuna muda nahisi Kama nakufa hivi,tumbo linauma vibaya mno.

Pole pia na akhsante kwa kunitia moyo ...I really appreciate this
 
Akhsante Sana mkuu..
Naamini nitapona japo kuna muda nahisi Kama nakufa hivi,tumbo linauma vibaya mno.

Pole pia na akhsante kwa kunitia moyo ...I really appreciate this
Usijali utapona, fuata ushauri wa wataalam wa afya, zingatia miiko ya vyakula na pia Muombe Mungu kwa maana yupo na anasikia Maombi ya waja wake.

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Dona
HC_20200529_212132_Monster%208%20-%20Hyper%20Raizen.jpeg
 
Nakula hivyohivyo
Nifanyeje sasa
[

Pole.

Zingatia dawa alafu epuka ( nyama na vyakula vyenye mafuta mengi, citrus fruits & juices, a nyanya, chai na kahawa (kwasababu ya caffeine) ,pombe, spicy food, chocolate na vyakula vingine vyenye acid kwa wingi you'll be fine.

Yeah na maziwa kama ni mnywaji acha kabisa mpaka upone. Ukinywa upata relief kwa muda ila baada ya muda yatachokoza zaidi.
 
Umenitamanisha choroko.
Napenda choroko ila siwezi kupika sijawahi kupika.
Napenda nipikiwe mie nile tu.
Goes to mlenda ule wa bamia na majani ya maboga napenda nipikiwe nile ila siwezi ba sijawahi kuupika.
Ukinipikia nitaukomba wote.

😁😁😁 kumbe tunaopenda baadhi ya vyakula ila vya kupikiwa tupo wengi???
 
Pole.

Zingatia dawa alafu epuka ( nyama na vyakula vyenye mafuta mengi, citrus fruits & juices, a nyanya, chai na kahawa (kwasababu ya caffeine) ,pombe, spicy food, chocolate na vyakula vingine vyenye acid kwa wingi you'll be fine.

Yeah na maziwa kama ni mnywaji acha kabisa mpaka upone. Ukinywa upata relief kwa muda ila baada ya muda yatachokoza zaidi.
Huwa natumia maziwa fresh
Maziwa ya mgando sinywi kabisa..hivi na fresh hayafai??

Akhsante kwa ushauri mpenzi
Nitazingatia..
Ubarikiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom