Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Sana!
Working from home
Hapo nilimsaidia wife kukata
Raha SanaHapo nilimsaidia wife kukata
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Kwa kweli anafurahi sana nikimsaidia kukata viungo. Ila kanipiga STOP kuingia jikoni ndio maana siku hizi situpii
Kweli penye miti hapana wajenzi.Kwa kweli anafurahi sana nikimsaidia kukata viungo. Ila kanipiga STOP kuingia jikoni ndio maana siku hizi situpii
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Yes! Anasema namuaibisha, ataonekana hajui kupika.
nimejaribu kula naannimeshindwa ila naona watu mnainjoi sanaMy love for Batta Naan and Butter Chicken is endless
View attachment 1393412
Aiseee..Yes! Anasema namuaibisha, ataonekana hajui kupika.
ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
my all time fav
Labda hapo ulipoenda hawapiki vizuri, jaribu sana sana Restaurants za Wahindi au Wapakistan ndo wanaozijulia sananimejaribu kula naannimeshindwa ila naona watu mnainjoi sana