Nimekumbuka leo nikaona ngoja ni jaribu kupikaWali wa chokomwanangu anapenda mseto ananiambia mama nipikie ile brown thing unatia kwenye mchuzi wa nazi
Nimekumbuka leo nikaona ngoja ni jaribu kupika
nadhani ni apple juice
Maboga mixed na nazi na karanga
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyama ya kukaanga, kuna maharage kiporo na tembele kiporo.
Hapo nitapika na ugali View attachment 1353105
Sent using Jamii Forums mobile app
Alichopika mke wa kidigo!Mkwe farkhina karibu
Ila tafadhali platozoom usifikeView attachment 1352439
Sent using Jamii Forums mobile app