babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,962
- 20,291
Matatizo hayo ninayo hapa,dogo teen ye ni mpunga tu na viepe kuku daily.Hiyo mboga kiporo cha jana namalizia leo na ugali. Ugali nitasonga baadae nao niuweke? Ila nyumba yangu hawapendi ugali wanasusa hawalinajikuta nakula mwenyewe.
Lakini namuambiaga dogo ukiwa na kwako utachagua msosi hapa unakula ninachotaka mie.
Sent using Jamii Forums mobile app
location?
kama bado kuku yupo sawa.Rafiki unataka kuja?
Buza mpendwa